Dive
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 868
- 1,424
Al Shabaab maana yake ni vijana wa kiume likiwa ni zao la Al Qaeda sasa hapa utaona jinsi wanavyofunzwa kambini na wanavyotawala. Pia utamsikia msemaji wao. Kwa kweli jamaa wanafanyiwa brainwashing mbaya sana na radicalization ya hali ya juu. BEWARE GUYS.