Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,061
- 136,424
Heko tele ziende kwenye kituo cha Al Jazeera kwa kuendelea kuyamulika yanayoendelea Tanzania.
Jana/ leo wamerusha habari za Boniface Mwangi kutekwa na kuteswa na vyombo vya usalama vya Tanzania.
Kama bado haijatokew basi muda si mrefu itatokea.
Serikali ya Samia itakuja kukifungia kituo cha Al Jazeera kufanya kazi nchini.
Si vigumu kuona kuwa siku za Al Jazeera nchini, zinahesabika.
Tayari sisi ni banana republic. Pia, muda si mrefu tutakuwa ni ‘pariah state’, endapo mambo hayatobadilika haraka.
View: https://youtu.be/0c-Puhlmobo?si=h-qjaw3giJFCsE1B