Al-Jazeera ni TV ya ovyo, kwenye vita ya Israel vs Hamas hawasemi athari zinazotokea upande wa Hamas

Kididimo

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
3,791
3,360
Ukiwa muongo, pia uwe makini. Kwa muda wote vita hii imepiganwa hajafa wala kutangazwa wangapi wa Hamas wamekufa! Picha zinazorushwa ni za vitoto tuu na kidogo wanawake.

Cha ajabu ukiangalia TV hiyo hiyo, miili mingi ya maiti zilizokufa GAZA na iliyofunikwa kwenda kuzikwa ni ya watu wazima.

Propaganda zingine itumike na akili kidogo basi.
 
Aljazeera wanatoa data kutoka hospital za Gaza ambazo zipo chini ya utawala wa Hamas.Ambazo kwenye hizo hospitali magaidi wa Hamas wanajificha unategemea nini hapo?

Na UN jinsi walivyo mapoyoyo facilities zake zinatumiwa na Hamas kujificha,kupitisha mahandaki chini na kushambulia israeli, halafu wanailaumu Israeli kushambulia hayo maeneo.

Israeli wanaijua Gaza kuliko mtu yeyote kwa hiyo wakae wakitulia wakati Israeli ikifanya yake!
 
Aljazeera wanatoa data kutoka hospital za Gaza ambazo zipo chini ya utawala wa Hamas.Ambazo kwenye hizo hospitali magaidi wa Hamas wanajificha unategemea nini hapo? Na UN jinsi walivyo mapoyoyo facilities zake zinatumiwa na Hamas kujificha,kupitisha mahandaki chini na kushambulia israeli,halafu wanailaumu Israeli kushambulia hayo maeneo.Israeli wanaijua Gaza kuliko mtu yeyote kwa hiyo wakae wakitulia wakati Israeli ikifanya yake!
"Wakae wakitulia wakati Israel ikifanye yake" sahihi. Watakuja Hamas wa Misungwi koromije wakuulize mbona kama anaijua Gaza hajakomboa mateka wake. Yaani wanataka IDF iingie Kikomando kwenye mashimo yaliyotegwa mabomu. Watu wako tayari kujilipua ili wakafanye ngono na mabikra huko aliko Osama bin Laden.
 
wewe unataka watangaze unavyotaka wewe labda tufahamishe TV gani ambayo inatangaza vifo vya Hamas, wewe bwege sana wanaokufa watoto kweli tunaona na data zinatoka hospital ndiyo maana watu waliofunikwa na kifusi hawatangazwi.
 
Punguzeni kuandika kwa mihemko!Wapiganaji wa Hamas wako wangapi? Kama Hata75% ya waliokufa wangekuwa Hamas basi Hamas wote wangekuwa wamekwisha.

Ila ndio kwanza mapigano yanazidi kuwa makali!
Mpaka sasa hakuna huo ushahidi kuwa Hamas anajificha kwenye mahospitali na kambi za UN!

Wewe huo ushahidi umeuona wapi zaidi ya video za Israel ambazo nazo zimebuma vibaya baada ya kuonekana kuwa zimetengenezwa!

Watu inajulikana wako kwenye mahandaki,Wewe unashusha majengo ya kiraia!Anachofanya Israel ni collective punishment!

Biden leo mwenyewe kaseme Israel inapoteza international support kutokana na "indiscriminate bombing of Gaza"!Umeelewa hapo?

Yaani Israel anapiga mabomu hovyo hovyo bila umakini wa anacholenga Huko Gaza!

Sasa Wewe uko wapi sijui unakuja na porojo zako hapa!
 
Sasa mbona hata vyombo vya habari vya Israel na nchi za Magharibi vinatoa taarifa za upande mmoja tu zenye kuonesha majeshi ya Israel yakipata mafanikio makubwa kwenye hivyo vita!

Na huwezi kuviona vikitangaza vifo vya hao askari wao wanaodunguliwa kila siku na Hamas!!! Mpaka sasa zaidi ya askari wao 100 wameshakufa tangu walipoivamia Gaza. Unalijua hilo?

Kuwa mpole. Kila timu ishinde mechi zake.
 
Ukiwa muongo, pia uwe makini. Kwa muda wote vita hii imepiganwa hajafa wala kutangazwa wangapi wa Hamas wamekufa !!. Picha zinazorushwa ni za vitoto tuu na kidogo wanawake.

Cha ajabu ukiangalia Tv hiyo hiyo, miili mingi ya maiti zilizokufa GAZA na iliyofunikwa kwenda kuzikwa ni ya watu wazima.

Propaganda zingine itumike na akili kidogo basi.

Na wewe ni mtu wa hovyo unayesikiliza
 
Ukiwa muongo, pia uwe makini. Kwa muda wote vita hii imepiganwa hajafa wala kutangazwa wangapi wa Hamas wamekufa !!. Picha zinazorushwa ni za vitoto tuu na kidogo wanawake.

Cha ajabu ukiangalia Tv hiyo hiyo, miili mingi ya maiti zilizokufa GAZA na iliyofunikwa kwenda kuzikwa ni ya watu wazima.

Propaganda zingine itumike na akili kidogo basi.
Wewe hujui kiingereza huenda, wanasema kwamba 70% ya vifo na majeruhu ni watoto na wanawake hiyo 30% unafikiri ni ya nini?
 
Ukiwa muongo, pia uwe makini. Kwa muda wote vita hii imepiganwa hajafa wala kutangazwa wangapi wa Hamas wamekufa! Picha zinazorushwa ni za vitoto tuu na kidogo wanawake.

Cha ajabu ukiangalia TV hiyo hiyo, miili mingi ya maiti zilizokufa GAZA na iliyofunikwa kwenda kuzikwa ni ya watu wazima.

Propaganda zingine itumike na akili kidogo basi.
Ni ipi TV ambayo si ya hovyo? Vipi TV za West kwenye vita ya Ukraine? Ilikuwa inaonekana russia anashindwa ila sasa hivi hata hao watoa misaada wameona wajitoe. Hakuna TV isiyokuwa na upande. Mimi Aljzeera naipenda kwa sababu inaonyesha upande wa pili wa shilling ambao TV nyingi za West hazionyeshi. So ukicheki West na Aljazeera walau unabalance story.
 
" Watakuja Hamas wa Misungwi koromije wakuulize mbona kama anaijua Gaza hajakomboa mateka wake. Yaani wanataka IDF iingie Kikomando kwenye mashimo yaliyotegwa mabomu.

Kuingia kwenye mashimo yaliyotekwa mabomu ndo ukomando wenyewe. Unataka makomandoo wa Israel wafanye kampeni zao majumbani waliko watoto na kinamama wasio na silaha wala hatia?
 
Ukiwa muongo, pia uwe makini. Kwa muda wote vita hii imepiganwa hajafa wala kutangazwa wangapi wa Hamas wamekufa! Picha zinazorushwa ni za vitoto tuu na kidogo wanawake.

Cha ajabu ukiangalia TV hiyo hiyo, miili mingi ya maiti zilizokufa GAZA na iliyofunikwa kwenda kuzikwa ni ya watu wazima.

Propaganda zingine itumike na akili kidogo basi.
Kwani ndugu,Kididimo,mbona hao akina BBC,voa,doutchwell,nbcsbc wanasemaje kuhusu Ukraine, hapa duniani ni akili tu kumkichwa,vingine vyote vimejaa utapeli🤔
 
"Wakae wakitulia wakati Israel ikifanye yake" sahihi. Watakuja Hamas wa Misungwi koromije wakuulize mbona kama anaijua Gaza hajakomboa mateka wake. Yaani wanataka IDF iingie Kikomando kwenye mashimo yaliyotegwa mabomu. Watu wako tayari kujilipua ili wakafanye ngono na mabikra huko aliko Osama bin Laden.
Sasa kama wasipoingia huko wataiangamizaje hamas wanayotaka kuiangamiza
Ili uiangamize hamas basi unatakiwa uifate huko pangoni laa sivyo usahau kuimaliza
Nakuingia huko mapangoni mnaogopa mnategemea nn
Kumbe kama magaidi wa idf wanaogopa kufa basi hamas ipo sana
Kufutika hamas nikwamapenzi na uwezo wa Muumba pekee magaidi wa kizayuni kwaushirikiano wa mashoga zake hawatakaa wafanikiwe
 
Ukiwa muongo, pia uwe makini. Kwa muda wote vita hii imepiganwa hajafa wala kutangazwa wangapi wa Hamas wamekufa! Picha zinazorushwa ni za vitoto tuu na kidogo wanawake.

Cha ajabu ukiangalia TV hiyo hiyo, miili mingi ya maiti zilizokufa GAZA na iliyofunikwa kwenda kuzikwa ni ya watu wazima.

Propaganda zingine itumike na akili kidogo basi.
Pole kijana
Nenda kawazuie Jazeera wasitoe habari basi
 
Ukiwa muongo, pia uwe makini. Kwa muda wote vita hii imepiganwa hajafa wala kutangazwa wangapi wa Hamas wamekufa! Picha zinazorushwa ni za vitoto tuu na kidogo wanawake.

Cha ajabu ukiangalia TV hiyo hiyo, miili mingi ya maiti zilizokufa GAZA na iliyofunikwa kwenda kuzikwa ni ya watu wazima.

Propaganda zingine itumike na akili kidogo basi.
WaIsrael walikuwa wakimbizi miaka mingi wakafocus kwenye elimu na biashara wakashikana mpaka wakarudi Nyumbani. Mpango wa kizayuni ulianzishwa na Tajiri mmoja mkubwa sana anaitwa Lionel Walter Rothschild. Wapalestina wanatakiwa watumie fursa ya ukimbizi wazamie ulaya na nchi nyingine zilizoendelea na kufocus kwenye elimu na biashara. Baada ya hapo ndo waje kuidaiardhi yao kwa Israel, ila ubaya wake huku Ulaya waarabu ni kama maniggers wa marekani. Ni wavivu na wana deal na biashara haramu. Waislamu wamefocus na dini iliyojaa unafiki badala ya kufocus na Elimu na Maendeleo. Jiulize kwa nini wakimbizi wengi wanakimbilia Europe na sio Saudia Arabia na ni nchi ambayo Quran inaheshimiwa. Sio kama Ulaya wanakochoma Quran.
 
Ukiwa muongo, pia uwe makini. Kwa muda wote vita hii imepiganwa hajafa wala kutangazwa wangapi wa Hamas wamekufa! Picha zinazorushwa ni za vitoto tuu na kidogo wanawake.

Cha ajabu ukiangalia TV hiyo hiyo, miili mingi ya maiti zilizokufa GAZA na iliyofunikwa kwenda kuzikwa ni ya watu wazima.

Propaganda zingine itumike na akili kidogo basi.
MPAKA SASA WAPIGANAJI WA HAMAS WAMEKUFA 6 NA IDF WAPIGANAJI 560..
SOURCE : AL JAZEERA YA DOHA QATAR
 
Back
Top Bottom