Akiri: Mganga wa kienyeji alininyonya VV

:A S embarassed::A S embarassed: kumbe ukakasi ukikuzidi tu mwanaume unajifanya mganga wa kienyeji unawavua weee mpaka basi:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:....:A S embarassed:
Msiwe mnasahau na kamera za kuwadungua wakati mnawatibu eeeeh.......................!:lol::lol::lol::lol::lol:
 
Uganga unafanyikia Gest

Opps kwanza hilo ni kosa la kwanza
LKosa la pili......
La tatu...
 
Hiyo ni pungufu ya kile alichostahili huyo mama. She deserved more than that ... Pumbafu zao!!
 
Na kwa mtindo wa siku hizi, wanaume wanaoenda kwa waganga kuganguliwa ngovu za kiume kupungua wakae chonjo.
 
ooops, babu umeng'aka sana mbona??Hupendi akina mama wakienda ongeza nguvu za kike kidogo??
Kama wanaongezewa nguvu kwa njia hii basi na waende tu ila wajiandae na yatakuyowapa ni shea yao halali. Na kubwa kuliko wasitushirikishe. Huu ni ujinga wa kwenda kutafuta utajiri kwa mganga ambaye hana hata radio ya mchina!
 
Bi dada akaenda guesti

Akamvua kyupi, akaanza kumnyonya VV afu anatemea kwenye hicho kitambaa
Akarudia mara nyingi weeeee
Akapiga magoti akaanza kuvua sarawali yake


Swali kwa wakaka, kama ni mkeo unamwacha?
Swali kwa wadada, inalipa? hata kama asingemwingilia, ila ile kunyonywa tu na kupewa dawa kwa ajili ya ndoa, inalipa??
mimi kama ni mke wangu narudisha kwao haraka .....
ila tuseme ukweli wanawake wanavichwa vizito na ndio maana kila siku mtalalamika wanaume wanawatumia .....wanawake ni ZEEEEROOOOOO HOPELESSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS BY DEFAULT.......
:lol:
 
Huo ni ulimbuken na kukurupuka kufanya mambo bila kufikir nadhan huyu aliye enda angeomba ushaur hata humu ndan angepata
 
Msinikumbushe sister mmoja wa kilokole avokua anamfata anko angu (Mtu mzima) kuja mlalamikia kua ataka achika kisa hapati mtoto. Dada alikua anateswa sana na hili. Kumbe anko alikua anamtaka siku nyingi tu lakini anashindwa mwambia akihofia imani ya mdada. Basi akamshauri waende kwa rafiki yake mganga bagamoyo. Dada akakubali wakaenda huko kufika mganga akaagiza zipatikane mbegu ya kiume na kike ili aweze aguliwa. dada akahamaki, mganga akamuliza kwani huyu ulokuja ndugu yako? Basi anko akamshawishi wafanye tu. Basi mganga akawapisha akawapa na kitambaa wawekee hiyo sampo. Wakafanya wakampatia. Kumbe jamaa si mganga wala nini. Mdada keshaliwa!
 
Yaani haya mambo ya kutokujiamini na kukimbilia kwa waganga wa kienyeji yanawacost sana wadada! Wengi tu wameishia kuolewa na waganga na kuwa watwanga dawa!
 
Heeee! Kuna matapeli jamani, kuna mdada nae alienda kwa mganga kisa mume wake hajatulia anataka apewe dawa ya kumtuliza, mganga akamwambia apeleke nyoya la simba tena alinyofoe mwenyewe kwa simba.... Mdada kahangaika kwenye zoo, kahonga vya kutosha apate nyoya... Mwisho wa siku akafanikiwa (si kwa kumnyofoa alisaidiwa na watu wa zoo), kufika kwa mganga mganga akamuuliza "hili nyoya umenyofoa mwenyewe?" akajibu "ndio". Mganga akamwambia "wewe mwanamke jasiri sana, kama umeweza kumtuliza simba hadi ukanyofoa nyoya umeshndwaje kumtuliza binadamu? , rudi nyumbani ukafanye maujanja kama uliyofanya kwa simba hadi mumeo atulie". Mwanamke likamshuka shuuu!
 
Heeeee, nisivyopenda ushirikina Kongosho afadhali nisijue maana ntamwambia huko huko alikokwenda.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom