Akiri: Mganga wa kienyeji alininyonya VV

Akiri: Mganga wa kienyeji alininyonya VV

Hehehe, yaleee ya kulishana uchafu. Ati nyama inawekwa ukeni wiki nzima halafu unapikiwa! Babu ukitaka mpango wa kando bora utafute m'bibi, hawa vijana wasipokuua na ukimwi basi utapata typhoid kama sio fungus za git!
Hiyo ni pungufu ya kile alichostahili huyo mama. She deserved more than that ... Pumbafu zao!!
 
Aliyataka mwenyewe. Nani kamwambia guest ni kwa wanganga au wageni siku hizi? Siku hizi guest ni kwa wenyeji wenye ndoa wanapotoka nje ya ndoa zao. Mganga alitaka kutoka naye. Hata hivyo mganga alifaidi kama kiasi

Sasa kama mganga katoka Nigeria si lazima atakaa Guest na kufanyia shughuli zake chumbani?
 
Itakuwa mganga kapiga jarramba
kwenye huo mkasa maswali mengi kuliko majibu
Mda ananyonywa alikuwa anasikilizia utamu ukapanda kichwani mganga akafanya kweli
Sasa kageuza stor kajifanya alikimbia
Fundisho kwetu-Tumuamini mungu kwa kila jambo kwani yeye ndio mganga wa kweli
 
Aliyataka mwenyewe. Nani kamwambia guest ni kwa wanganga au wageni siku hizi? Siku hizi guest ni kwa wenyeji wenye ndoa wanapotoka nje ya ndoa zao. Mganga alitaka kutoka naye. Hata hivyo mganga alifaidi kama kiasi

Kafaidi nini hapo kama sio kula uchafu tu!Sawa na denda mtu akuwekee kwenye kikombe unywe utaweza?
 
Back
Top Bottom