Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,444
Homeboy vipi umeishamnasisha binti ki-zygote nini? L.o.l
Mi huwa nawasusia mm jukumu langu nikuzamisha yeye ndo atajijua kama yupo kwenye joto baridi ni jukumu lake
Homeboy vipi umeishamnasisha binti ki-zygote nini? L.o.l
Jamani mnapoanza kukataa kujua sababu za utoaji huo wa mimba hizo, ni sawa na kutibu malaria wakati mazalia ya mbu bado yako kibao.
Sasa na wale madaktari wanaotoa mimba ili kuokoa maisha ya mama nao ni dhambi?? Hebu tuache kutreat sympoms tudeal na root causes ndicho nisemacho mie. Kama ni maadili tudeal na maadili lakini haitasaidia kitu kama tunaruhusu tabia mbovu zizaliwe huku tukisubiri kuzicondem wakati matatizo yeshatokea
Halazimishwi na kwani unafikiri anapenda kubeba hovyo? sometimes si bahati mbaya tu au kwa sababu sisi viungo vyetu ndio vinavyopokea ndio maana mnatupia tu lawama mwanamke. lawama ni kwa wote tu. Kwani kama ni kuua hata kutumia condom ni kuua kwani mungu ameruhusu watu kutumia condom?
Fikiria binti yako ambaye ana umri wa miaka 15 au 16 yuko sekondari na anafanya vizuri sana kimasomo kuna mpumbavu mmoja kamdanganya na hatimaye kumtia mimba. Kama Mzazi katika hali kama hii huwezi kukubali binti yako apoteze elimu yake kwa kuendelea kuwa na hiyo mimba, ili kuhakikisha binti yako anakuwa na bright future ni lazima ufanya maamuzi magumu mno. Miye sifagilii kabisa utoaji mimba lakini kuna wakati mwingine kama alivyoelezea MJ1 hapo juu kama Mume unakuwa huna jinsi.
Mi huwa nawasusia mm jukumu langu nikuzamisha yeye ndo atajijua kama yupo kwenye joto baridi ni jukumu lake
Mi ndo hapa huwa tunabishana na wanawake wengi eti bahati mbaya hakuna bahati mbaya ni uzembe labda kama umebakwa umepanua miguu kwa raha zako ukaona haitoshi ukaamua kukunama ili iingie vizuri kwa raha zako kesho unapata mimba unasema imeingia kwa bahati mbaya mm hapo hatuelewani wallah huo ni uzembe
Asante Spika...nafurahi nimekugusa!Una akili sana aisee,you've touched me
Nakuunga mkono kwa asilimia moja na tano.Aunt yangu mmoja alipata mimba akiwa form two akatulia nyumbani baada ya kujifungua akarudi shule.Mzazi akitaka inawezekana sana...elimu ipo na itaendelea kuwepo.Kama unampenda kweli mtoto wako kwanini usim-support kwa wakati mgumu wa ujauzito,
ajifungue then umrudishe shule?
So bora kuua tu kisa rehema ipo utaomba msamaha badae?
Nakuunga mkono kwa asilimia moja na tano.Aunt yangu mmoja alipata mimba akiwa form two akatulia nyumbani baada ya kujifungua akarudi shule.Mzazi akitaka inawezekana sana...elimu ipo na itaendelea kuwepo.
Hapo kwenye red inawezekana tu iwapo huyo dada alibakwa.
Zaidi ya hapo hamna wakumtupia lawama zaidi ya mwanamke mwenyewe.Swala la mwanaume kukataa mimba au mwanaume kutokidhi sifa za mdada kutaka kuzaa nae ndo mara nyingi hua linatumiwa kama kisingizio.
Huko ni kukataa majukumu yaliyotokana na matendo binafsi...kama mtu ulimwona anafaa kuhusiana nae kimapenzi bila tahadhari iweje baadae mtu aseme ahhhh mi simpendi kwahiyo siwezi kuzaa nae???
Mwanaume anaekataa mimba yake nae ni yule ambae anahisi/ona hayuko tayari kuwa na majukumu makubwa kama kulea mtoto kwahiyo wanachagua njia rahisi na kukataa matunda ya kazi zao.Ubaya wa hapa ni kwamba mara nyingi sisi wadada hua tunajiachia bila kujua malengo ya wenzetu yako wapi.Tue na mazoea ya kuongea na kuwachimba kujua kama kitu flani kikitokea je itakuaje....sio hujui hata kama mwenzako atapenda kua na mtoto huko mbeleni alafu we unajilegeza mpaka kupata mimba.
Kitu kingine ni kwamba kama unajua hutaki ama huwezi kua na uwezo wa kulea mtoto iwe mwenyewe au na mwenzako.....USIHUSIANE KIMWILI AU ATLEAST KUA MUANGALIFU.
Starehe zako zisiwe tabu kwa vimalaika vya Mungu maana kuna watu wanatoa mpaka imekua mazoea!!!
Speaker ni kweli kabisa usemayo lakini ni wangapi wako na moyo kama wa mama yako?? jamani tuepuka kujudge upesi.............wapo wenye uwezo wa kuwasupport na wale ambao hivyo tu bila mtoto mwenye mimba kuishi ni tabu na msisahau wazazi wengine binti kapata mimba baba anakuwa mbogo kwa wote mtoto na mke ........................ jamani acheni kabisa nyie ndo maana nasisitiza kuangalie zaidi namna ya kuzuia haya na si kunyoosha vidoleKama unampenda kweli mtoto wako kwanini usim-support kwa wakati mgumu wa ujauzito,
ajifungue then umrudishe shule?
So bora kuua tu kisa rehema ipo utaomba msamaha badae?
Aliye nizaa mimi alikua na miaka 15 that time,std7
pamoja na purukushani zote hakutoa mimba (ambayo ndo mimi huyu),...
alistrugle mwenyewe,jana kafikisha 39years na last year kachukua masterz yake!
Nimegundua humu kuna watu wametoa mimba nyingi sana,ili wapate peace ndani ya mioyo yao wana jaribu kutetea abortion!
Ahaaaa ahaaa homeboy nimekwambia lazima nikupe Groan za kutosha kuna mtu TIP TOP tayari kaishabeba lolMi huwa nawasusia mm jukumu langu nikuzamisha yeye ndo atajijua kama yupo kwenye joto baridi ni jukumu lake
MR mimi msafi na hilo unalijuakila siku mada za wadada tu nyie wakaka ndo wasafi???
Speaker ni kweli kabisa usemayo lakini ni wangapi wako na moyo kama wa mama yako?? jamani tuepuka kujudge upesi.............wapo wenye uwezo wa kuwasupport na wale ambao hivyo tu bila mtoto mwenye mimba kuishi ni tabu na msisahau wazazi wengine binti kapata mimba baba anakuwa mbogo kwa wote mtoto na mke ........................ jamani acheni kabisa nyie ndo maana nasisitiza kuangalie zaidi namna ya kuzuia haya na si kunyoosha vidole
Pole sana watu tuna watoto wakubwa tu tumewazaa toka tuko darasa la tano nini wako darasa la 7 mpaka tunawajukuu. Peace ndani ya moyo haiwezi kuletwa jf kuna sehemu za kuipatia
Ahaaaa ahaaa homeboy nimekwambia lazima nikupe Groan za kutosha kuna mtu TIP TOP tayari kaishabeba lol
MR mimi msafi na hilo unalijua