Akina dada, mtafanya mauaji haya mpaka lini?

Watu inapokuja kwenye realities wanakuwa wanafiki sana ikitokea utoaji mimba oo mungu hapendi kwenye keyboard wakati huko wanafanya, linapoletwa suala la uzinzi hapa unakuta karibu kila mtu anakemea ila huyo huyo anaendelea kufanya uzinzi, so tupunguze unafiki jama uongelewe ukweli ili watu wajifunze.

Mimi sikubaliani tena nasema tena suala la mtu kufyatua watoto hovyo eti kisa kama wewe ungeuwawa ungekuwepo. Dhambi ni dhambi kwa mungu hakuna dhambi ndogo wala kubwa kuua na kudanganya zote ni dhambi moja mbele ya mungu. so watu waeleweshwe madhara ya utoaji mimba na kufanyana bila condom na sio kuhalalisha kuzaa kila kiumbe kiingiacho tumboni.

watu wanazungumzia tu condom hapa lakini asilimia kubwa ya watu wanatumia condom mara chache sana so tupunguze unafiki, ukweli lazima usemwe hata kama ni mbaya machoni kwa watu
WELL SAID SWEETHEART

Hili suala ni very controversial na tatizo letu tunahukumu kabla ya kujua chanzo

Binafsi ningependa zaidi tuzungumzie why, how, and if neccesary kutoa mimba kwanza ndio mwisho tu-conclude

m
 
watu wanazungumzia tu condom hapa lakini asilimia kubwa ya watu wanatumia condom mara chache sana so tupunguze unafiki, ukweli lazima usemwe hata kama ni mbaya machoni kwa watu

Ndio condom inatumika mara ya kwanza mnapo onana na mara ya pili mara ya tatu bao la kwanza na condom linalofuata kavu kavu na jingine hivyo hivyo mpaka round zote....lakini mwanamke ndo mwenye maamuzi ya mwisho jamaa aingie kavu au na condom
 
Hapo kwenye red hivi unafikiri kuna mtu yuko proud to be born? kuna raha gani? imetokea tu tupo duniani. Tungetolewa ingekuwa poa zaidi, LOL.

Na watoto wengi wanaopata shida mitaani ni wale ambao mimba zimeingia bila mpangilio halafu hao wababa wanaosema wadada mnaua wanasepa bila hata kuuliza. Wengine tuko hapa tunafurahia maisha wakati kuna mtoto ulimpa mimba mama yake na anapata shida na wala hujui kama yupo.

Kwa sababu anaebeba mimba ni mama ndio maana unaona anaua, Je wewe kama baba ulifanya jitihada gani kuhakikisha hiyo mimba inakua na mtoto anazaliwa? na wengi wao wababa ndio wa kwanza kukushurutisha katoe hiyo mimba mimi sijajiandaa kuwa na mtoto kwa sasa. Lakini wakati mnado bila kinga anachekelea.

Acheni unafiki
 
Pole maty <br />
Ndo mana nikasema suala hili ni pana kuliko tunavyolifikiria. Hata hizo kondom na matumizi yake zina explanations tofauti nyingi ya why watu hawatumii na haiishii kwenye utashi tu kuwa eti mtu hapendi kula pipi na maganda hapana ni suala pana na sababu ziko nyingi tofauti. So utoaji wa mimba kama utaji wa mimba hauwezikuzuiliwa kwa kuwanyooshea vidole watuhumiwa tu.
<br />
<br />

TOUCH BASE MKUU...
 
Speaker and Maty please. .... Peace

Hapa ni peace tu mama jamii One, watu tunaona aibu nikisema hivi nitafikiriwa mzinzi, au mtoaji mimba au muuaji etc. na ndio maana jukwaa linaharibika watu badala ya kuwa serious wanaogopa kuonekanaje matokeo yake mtu anaanzisha nimemmiss fulani ooh nampenda fulani wanaogopa kuanzisha mada zenye manufaa kwani akianzisha jamani nimezini au nimeiba watu wanaanza kuzomea tu kwa nini kwa nini as if hayafanyiki huko mtaani.

Wanajamii forums tunajifanya ni tofauti na wale tuishio huko duniani utadhani jamii forum ni dunia nyingine. Kuna mtu alisema wababa wa jamii forum wanamtongoza alidhani akikutana na wa humu watakua tofauti na anaofanya nao kazi au kupishana nao huko barabarani kumbe ni wale wale tu.

Narudia tuache unafiki ukweli unauma ila unajenga.
 
Siafiki wadada kutoa mimba, ila pia yawezekana chanzo kikawa ni wanaume. Na nyie kina dada kama ukiona mwanaume haeleweki kwa nini mnajiachia kihivyo?

Hapo kwenye red inawezekana tu iwapo huyo dada alibakwa.
Zaidi ya hapo hamna wakumtupia lawama zaidi ya mwanamke mwenyewe.Swala la mwanaume kukataa mimba au mwanaume kutokidhi sifa za mdada kutaka kuzaa nae ndo mara nyingi hua linatumiwa kama kisingizio.
Huko ni kukataa majukumu yaliyotokana na matendo binafsi...kama mtu ulimwona anafaa kuhusiana nae kimapenzi bila tahadhari iweje baadae mtu aseme ahhhh mi simpendi kwahiyo siwezi kuzaa nae???
Mwanaume anaekataa mimba yake nae ni yule ambae anahisi/ona hayuko tayari kuwa na majukumu makubwa kama kulea mtoto kwahiyo wanachagua njia rahisi na kukataa matunda ya kazi zao.Ubaya wa hapa ni kwamba mara nyingi sisi wadada hua tunajiachia bila kujua malengo ya wenzetu yako wapi.Tue na mazoea ya kuongea na kuwachimba kujua kama kitu flani kikitokea je itakuaje....sio hujui hata kama mwenzako atapenda kua na mtoto huko mbeleni alafu we unajilegeza mpaka kupata mimba.

Kitu kingine ni kwamba kama unajua hutaki ama huwezi kua na uwezo wa kulea mtoto iwe mwenyewe au na mwenzako.....USIHUSIANE KIMWILI AU ATLEAST KUA MUANGALIFU.
Starehe zako zisiwe tabu kwa vimalaika vya Mungu maana kuna watu wanatoa mpaka imekua mazoea!!!
 
hii dhambi ni ya wahusika wote, baba/kijana, mama, binti na dactari anaefanya iyo kazi.

si vizuri kumnyoshea mwezio kidole ili hali vingine vinakuelekea wewe
 
Hivi kwanini baadhi ya nyie akina dada anaua watoto mliowatafuta kwa starehe zenu? Mtu unajiachia mwenye tena bila kinga yoyote, then ukipata mimba unatoa, je hamjui kuwa hapo anafanya mauji ya viumbe vya MUNGU? Kama hampo tayari kuzaa, kwanini mnajiachia bila kutumia hata lady pepeta? Wazazi wenu wangezitoa mimba zenu, nyie mngekuwepo hapa duniani? Inaniuma sana kwakweli!!!!!!!!!!!

ndio kusema una hasira sana au?!!
 
MATY nimekugongea thanks kibao ila naona hazitoshi aisee.
Umeongea vyema kabisa. Vyema kabisa maty.
 
Hapa ni peace tu mama jamii One, watu tunaona aibu nikisema hivi nitafikiriwa mzinzi, au mtoaji mimba au muuaji etc. na ndio maana jukwaa linaharibika watu badala ya kuwa serious wanaogopa kuonekanaje matokeo yake mtu anaanzisha nimemmiss fulani ooh nampenda fulani wanaogopa kuanzisha mada zenye manufaa kwani akianzisha jamani nimezini au nimeiba watu wanaanza kuzomea tu kwa nini kwa nini as if hayafanyiki huko mtaani.

Wanajamii forums tunajifanya ni tofauti na wale tuishio huko duniani utadhani jamii forum ni dunia nyingine. Kuna mtu alisema wababa wa jamii forum wanamtongoza alidhani akikutana na wa humu watakua tofauti na anaofanya nao kazi au kupishana nao huko barabarani kumbe ni wale wale tu.

Narudia tuache unafiki ukweli unauma ila unajenga.

Mwanamke analazimishwa kubeba mimba?
 
Mwanamke analazimishwa kubeba mimba?

Halazimishwi na kwani unafikiri anapenda kubeba hovyo? sometimes si bahati mbaya tu au kwa sababu sisi viungo vyetu ndio vinavyopokea ndio maana mnatupia tu lawama mwanamke. lawama ni kwa wote tu. Kwani kama ni kuua hata kutumia condom ni kuua kwani mungu ameruhusu watu kutumia condom?
 
Fidel atakuwa tayari kaisha mbebesha mtoto wa watu mimba l.o.l
 
MATY nimekugongea thanks kibao ila naona hazitoshi aisee.
Umeongea vyema kabisa. Vyema kabisa maty.

Watu wanapenda sana kuonekana safi mbele ya keyboard wakati wanayoyafanya nyuma ya keyboard ni mungu tu ajuae, tatizo kama tatizo lazima liongelewe ili lipatiwe ufumbuzi, staili hizi za kubezana ndio zinasababisha watu washindwe kujitangaza kama wameathirika
 
Amen amen, ngoja Fidel aje lazima nimpe Groan za kutosha Kheee Kheee
 
Hivi kwanini baadhi ya nyie akina dada anaua watoto mliowatafuta kwa starehe zenu? Mtu unajiachia mwenye tena bila kinga yoyote, then ukipata mimba unatoa, je hamjui kuwa hapo anafanya mauji ya viumbe vya MUNGU? Kama hampo tayari kuzaa, kwanini mnajiachia bila kutumia hata lady pepeta? Wazazi wenu wangezitoa mimba zenu, nyie mngekuwepo hapa duniani? Inaniuma sana kwakweli!!!!!!!!!!!

Lucifer at work.
 
Dah...imeomgea Points sana...nimekugongea senks
Ningekuwa darasani tungeongea mengi sana hapa.........but in short suala la utoaji mimba halizungumziki kirahisi namna hii........eti kina dada msikubali wanaume wasioeleweka au msikubali kuzaa bila mpangilio au msibebe mimba........ Vichocheo vya jambo hili viko vingi ikiwa pamoja na umasikini, ulaghai, unyanyasaji wa kijinsia, ukosekanaji wa maadili you name it.
 
Kama unataka kunifahamu nitakufahamisha wapi napatikana tena kirahisi tu alafu tuone unakuja kunifanya nini? hebu tuache unafiki. Mimi sina aibu inapotokea kuongea ukweli. we unafikiri nimeongea hivyo cause hapa jf sijulikani au wananijua wengi kuliko unavyodhani lakini sioni faida ya kuongea unafiki kama kweli tunataka kuepukana na mabaya

Uko wapi?
Tatizo sio kuacha unafiki,tatizo ni kusimamia ukweli!
Abortion,no matter nini kimetokea ni dhambi na hilo nalisimamia kama lilivo!
What i hate is personal attacks good thing niliondoka JF baada ya kukasirika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom