Akina dada, mtafanya mauaji haya mpaka lini?

Unafikiri wanaopata mimba hawajui? ni uzembe sana, ila wanaume pia wa kulaumiwa, wanapenda sana kula pipi bila maganda, msichana usipojisimamia, ukawa ngangali uakwenda na maji. ushauri pia kwa nyie wa kaka, msijipende nyie tu, kulamba sali hafu cxonsequenses mnamwachia mwanamke. Mimba ni muungano wa male and female so lawama kwa wote.

Well said,..
bora hukuongelea swala la kutoa mimba maana watu hapa wame likomalia kama vile ndo limeandikwa kwenye vitabu vyao vitakatifu!
Ukitaka raha basi ubebe na msalaba unaoletwa na raha hiyo au msalaba unaoleta raha unayotaka
 
Suala hapa si utoaji mimba wewe, una uhakika gani mama yako hajawahi kutoa mimba? acheni unafiki hapa na wewe pia inawezekana ulishashiriki kutoa mimba ila unajishaua tu hapa eti mama yangu asingenizaa ningekuwa wapi unafikiri mama yako alishadanganywa mara ngapi mpaka sasa

Infact nimempa mtu mimba,simuoi na nilimsisitiza azae huyo mtoto na tar26 anafikisha miaka miwili!
Unajua kwanini?

Najua umuhimu wa maisha ya binadamu yeyote yule kwa Mungu!
Anae toa mimba,au anae support kutoa mimba hana tofauti na muuaji yeyote yule,jambazi,mchawi,etc
 
Uko wapi?
Tatizo sio kuacha unafiki,tatizo ni kusimamia ukweli!
Abortion,no matter nini kimetokea ni dhambi na hilo nalisimamia kama lilivo!
What i hate is personal attacks good thing niliondoka JF baada ya kukasirika

Though i mean it,what i say and what i do are never the same!!!
 
Infact nimempa mtu mimba,simuoi na nilimsisitiza azae huyo mtoto na tar26 anafikisha miaka miwili!
Unajua kwanini?

Najua umuhimu wa maisha ya binadamu yeyote yule kwa Mungu!
Anae toa mimba,au anae support kutoa mimba hana tofauti na muuaji yeyote yule,jambazi,mchawi,etc

Though i mean it,what i say and what i do are never the same!!!
 
Pole maty
Ndo mana nikasema suala hili ni pana kuliko tunavyolifikiria. Hata hizo kondom na matumizi yake zina explanations tofauti nyingi ya why watu hawatumii na haiishii kwenye utashi tu kuwa eti mtu hapendi kula pipi na maganda hapana ni suala pana na sababu ziko nyingi tofauti. So utoaji wa mimba kama utaji wa mimba hauwezikuzuiliwa kwa kuwanyooshea vidole watuhumiwa tu.

ofcourse condoms sio salama,
na condom nilotumia mimi "dume" ilipasuka i never trust condoms!
Lakini,nikimpa mtu mimba sio sababu ya kutoa eti kwa kua haikua planned
 
Though i mean it,what i say and what i do are never the same!!!

Though i mean it
Even the statement itself my be false huh!
Good,you got it!
unajua kukwepa mitego sometimes though not always
 
Kweli inasikitisha waombe Mungu asiwanyime watakapotaka kuwa na watoto

Wanawake wengi duniani wanalia hawapati watoto miscarriages wengine hata mimba aiingii hata IVF hata clomid
 
Haya mambo ni very complecated. I have never used contraseptives in my life. Nahofia side effects za magonjwa na kuto enjoy ndani ya 6X6. Lakini nimeweza kuwa na idadi ya watoto niwatakao (two kids) in my 10 years of marriage.
 
Kweli inasikitisha waombe Mungu asiwanyime watakapotaka kuwa na watoto

Wanawake wengi duniani wanalia hawapati watoto miscarriages wengine hata mimba aiingii hata IVF hata clomid

Hujajua tu watoaji mimba ndio wana vizazi kuliko maelezo na ndio maana wanatoatoa hovyo. Ambao hata hawajawahi toa mimba wanatafuta watoto na hawapati. Acha tu mungu aitwe mungu
 
Hapa ni peace tu mama jamii One, watu tunaona aibu nikisema hivi nitafikiriwa mzinzi, au mtoaji mimba au muuaji etc. na ndio maana jukwaa linaharibika watu badala ya kuwa serious wanaogopa kuonekanaje matokeo yake mtu anaanzisha nimemmiss fulani ooh nampenda fulani wanaogopa kuanzisha mada zenye manufaa kwani akianzisha jamani nimezini au nimeiba watu wanaanza kuzomea tu kwa nini kwa nini as if hayafanyiki huko mtaani.

Wanajamii forums tunajifanya ni tofauti na wale tuishio huko duniani utadhani jamii forum ni dunia nyingine. Kuna mtu alisema wababa wa jamii forum wanamtongoza alidhani akikutana na wa humu watakua tofauti na anaofanya nao kazi au kupishana nao huko barabarani kumbe ni wale wale tu.

Narudia tuache unafiki ukweli unauma ila unajenga.

God treats a fetus (baby) in the womb as a living person.

Some people say, "The Bible does not say anything about abortion." Let's look at that statement.

Although the Bible does not use the terms "abortion" or "pro-life,"
does that mean God doesn't care about abortion?
Not at all.
There are countless wrong things that are not mentioned by name in the Bible.
But rather than list everything that would be against God's will,
the Bible gives us guidelines and principles that we can apply to the issues that come up in our lives.

As the following Scriptures show,
Christians (or members of other religions) do not need to wonder what God thinks about unborn children or whether he considers a fetus a child.

Did not he who made me in the womb make them?
Did not the same one form us both within our mothers? (Job 31:15)
.
Yet you brought me out of the womb; you made me trust in you even at my mother's breast. From birth I was cast upon you; from my mother's womb you have been my God (Psalm 22:9-10).

For you created my inmost being; you knit me together in my mother's womb.

I praise you because I am fearfully and wonderfully made; your works are wonderful, I know that full well.
My frame was not hidden from you when I was made in the secret place.
When I was woven together in the depths of the earth, your eyes saw my unformed body. All the days ordained for me were written in your book before one of them came to be (Psalm 139:13-16).

This is what the LORD says—he who made you, who formed you in the womb, and who will help you....

Listen to me, O house of Jacob, all you who remain of the house of Israel,

you whom I have upheld since you were conceived, and have carried since your birth.
Even to your old age and gray hairs I am he, I am he who will sustain you.
I have made you and I will carry you;
I will sustain you and I will rescue you (Isaiah 46:3-4).

And now the LORD says—he who formed me in the womb to be

his servant to bring Jacob back to him and gather Israel to himself,

for I am honored in the eyes of the LORD and my God has been my strength (Isaiah 49:5).

The word of the LORD came to me, saying,

"Before I formed you in the womb I knew you, before you were born I set you apart;

I appointed you as a prophet to the nations" (Jeremiah 1:4-5).
God says murder is sin. (Abortion kills the fetus.) "a human being in this case"

You shall not murder (Exodus 20:13).
 
God treats a fetus (baby) in the womb as a living person.

Some people say, "The Bible does not say anything about abortion." Let's look at that statement.

Although the Bible does not use the terms "abortion" or "pro-life,"
does that mean God doesn't care about abortion?
Not at all.
There are countless wrong things that are not mentioned by name in the Bible.
But rather than list everything that would be against God's will,
the Bible gives us guidelines and principles that we can apply to the issues that come up in our lives.

As the following Scriptures show,
Christians (or members of other religions) do not need to wonder what God thinks about unborn children or whether he considers a fetus a child.

Did not he who made me in the womb make them?
Did not the same one form us both within our mothers? (Job 31:15)
.
Yet you brought me out of the womb; you made me trust in you even at my mother's breast. From birth I was cast upon you; from my mother's womb you have been my God (Psalm 22:9-10).

For you created my inmost being; you knit me together in my mother's womb.

I praise you because I am fearfully and wonderfully made; your works are wonderful, I know that full well.
My frame was not hidden from you when I was made in the secret place.
When I was woven together in the depths of the earth, your eyes saw my unformed body. All the days ordained for me were written in your book before one of them came to be (Psalm 139:13-16).

This is what the LORD says-he who made you, who formed you in the womb, and who will help you....

Listen to me, O house of Jacob, all you who remain of the house of Israel,

you whom I have upheld since you were conceived, and have carried since your birth.
Even to your old age and gray hairs I am he, I am he who will sustain you.
I have made you and I will carry you;
I will sustain you and I will rescue you (Isaiah 46:3-4).

And now the LORD says-he who formed me in the womb to be

his servant to bring Jacob back to him and gather Israel to himself,

for I am honored in the eyes of the LORD and my God has been my strength (Isaiah 49:5).

The word of the LORD came to me, saying,

"Before I formed you in the womb I knew you, before you were born I set you apart;

I appointed you as a prophet to the nations" (Jeremiah 1:4-5).
God says murder is sin. (Abortion kills the fetus.) "a human being in this case"

You shall not murder (Exodus 20:13).

Umeona dhambi ni kutoa au kusapoti kutoa mimba tu? kuzini si dhambi? uongo si dhambi?
 
Ngoja Adam amlaumu Eva kwa kumpa tunda!
Ngoja Eva amlaumu nyoka kwa kumdanganya!
Lakini wote wametenda dhambi,
Dawa sio kulaumu mtu au kuhalalisha ulaji wa tunda kwa namna yoyote ile.
Dawa ni kuomba msamaha kwa muumba wako na kuubeba msalaba ulo utaka!
 
Umeona dhambi ni kutoa au kusapoti kutoa mimba tu? kuzini si dhambi? uongo si dhambi?

Topic inahusu matunda ya dhambi (kutoa mimba) na haijaongelea mizizi ya dhambi (kufanya dhambi juu ya mwili wako mwenyewe) i.e uasherati
 
Hapo kwenye red inawezekana tu iwapo huyo dada alibakwa.
Zaidi ya hapo hamna wakumtupia lawama zaidi ya mwanamke mwenyewe.Swala la mwanaume kukataa mimba au mwanaume kutokidhi sifa za mdada kutaka kuzaa nae ndo mara nyingi hua linatumiwa kama kisingizio.
Huko ni kukataa majukumu yaliyotokana na matendo binafsi...kama mtu ulimwona anafaa kuhusiana nae kimapenzi bila tahadhari iweje baadae mtu aseme ahhhh mi simpendi kwahiyo siwezi kuzaa nae???
Mwanaume anaekataa mimba yake nae ni yule ambae anahisi/ona hayuko tayari kuwa na majukumu makubwa kama kulea mtoto kwahiyo wanachagua njia rahisi na kukataa matunda ya kazi zao.Ubaya wa hapa ni kwamba mara nyingi sisi wadada hua tunajiachia bila kujua malengo ya wenzetu yako wapi.Tue na mazoea ya kuongea na kuwachimba kujua kama kitu flani kikitokea je itakuaje....sio hujui hata kama mwenzako atapenda kua na mtoto huko mbeleni alafu we unajilegeza mpaka kupata mimba.

Kitu kingine ni kwamba kama unajua hutaki ama huwezi kua na uwezo wa kulea mtoto iwe mwenyewe au na mwenzako.....USIHUSIANE KIMWILI AU ATLEAST KUA MUANGALIFU.
Starehe zako zisiwe tabu kwa vimalaika vya Mungu maana kuna watu wanatoa mpaka imekua mazoea!!!

Una akili sana aisee,you've touched me
 
Jamani mnapoanza kukataa kujua sababu za utoaji huo wa mimba hizo, ni sawa na kutibu malaria wakati mazalia ya mbu bado yako kibao.

Sasa na wale madaktari wanaotoa mimba ili kuokoa maisha ya mama nao ni dhambi?? Hebu tuache kutreat sympoms tudeal na root causes ndicho nisemacho mie. Kama ni maadili tudeal na maadili lakini haitasaidia kitu kama tunaruhusu tabia mbovu zizaliwe huku tukisubiri kuzicondem wakati matatizo yeshatokea
 
Umeona dhambi ni kutoa au kusapoti kutoa mimba tu? kuzini si dhambi? uongo si dhambi?

Kosa kubwa sana kuuliza kwani kitu fulani sio dhambi?Kwa style hiyo tutajikuta tumehalalisha maovu ya yote kwasababu tu machache yamezoeleka.Besides..japo watu hua wanasema kua dhambi zote ni sawa outcome ya kilichofanyika ndo kitaamua umekosea kiasi gani.Huwezi kulinganisha mwizi wa simu na mbakaji..japo yote ni makosa ila matokeo yake ni tofauti!
 
Jamani mnapoanza kukataa kujua sababu za utoaji huo wa mimba hizo, ni sawa na kutibu malaria wakati mazalia ya mbu bado yako kibao.

Sasa na wale madaktari wanaotoa mimba ili kuokoa maisha ya mama nao ni dhambi?? Hebu tuache kutreat sympoms tudeal na root causes ndicho nisemacho mie. Kama ni maadili tudeal na maadili lakini haitasaidia kitu kama tunaruhusu tabia mbovu zizaliwe huku tukisubiri kuzicondem wakati matatizo yeshatokea

Kwenye kuokoa maisha sawa,ila ni case chache sana!
Madaktari wengi siku hizi ni ma-angent wa israel mtoa roho
 
Jamani mnapoanza kukataa kujua sababu za utoaji huo wa mimba hizo, ni sawa na kutibu malaria wakati mazalia ya mbu bado yako kibao.

Sasa na wale madaktari wanaotoa mimba ili kuokoa maisha ya mama nao ni dhambi?? Hebu tuache kutreat sympoms tudeal na root causes ndicho nisemacho mie. Kama ni maadili tudeal na maadili lakini haitasaidia kitu kama tunaruhusu tabia mbovu zizaliwe huku tukisubiri kuzicondem wakati matatizo yeshatokea
Aisee Mjukuu nidai Marunyagi katoni mbili for this useful post nitaongea na Daz akufanyie home delivery
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom