Akina dada, mtafanya mauaji haya mpaka lini?

Sinai

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
288
47
Hivi kwanini baadhi ya nyie akina dada anaua watoto mliowatafuta kwa starehe zenu? Mtu unajiachia mwenye tena bila kinga yoyote, then ukipata mimba unatoa, je hamjui kuwa hapo anafanya mauji ya viumbe vya MUNGU? Kama hampo tayari kuzaa, kwanini mnajiachia bila kutumia hata lady pepeta? Wazazi wenu wangezitoa mimba zenu, nyie mngekuwepo hapa duniani? Inaniuma sana kwakweli!!!!!!!!!!!
 
Kiukweli Mungu hafurahishi na vitendo kama hivi,
lakini na sisi wanaume tunaweza kuwa ni vyanzo vya mauaji hayo,ni maoni yangu
 
Nimecheka unaposema eti wazazi wenu wangewaua mngekuwepo, so ni heri wale watoto wanazagaa mitaani na kupata shida vile ee. Sema watu wajitahidi wasibebe mimba, ila hili la kuzaa kila mimba bila mpangilio hata siliafiki
 
  • Thanks
Reactions: BAK
inauma sana jamani... lakini hao watoto wanawapata peke yao??

Na sie akina kaka vipi zile mbegu tunazopanda everywhere??:bored:
 
Siafiki wadada kutoa mimba, ila pia yawezekana chanzo kikawa ni wanaume. Na nyie kina dada kama ukiona mwanaume haeleweki kwa nini mnajiachia kihivyo?
 
Nimecheka unaposema eti wazazi wenu wangewaua mngekuwepo, so ni heri wale watoto wanazagaa mitaani na kupata shida vile ee. Sema watu wajitahidi wasibebe mimba, ila hili la kuzaa kila mimba bila mpangilio hata siliafiki

hapo kwenye red tuko pamoja!
 
Daahh
Haya bana
kwanza kabisa utumiaji wa kinga
Unaenda pande zote wanaume na wanawake..
sababu kuna kuzuia magonjwa na mimba..

it is ur responsibility to
Kumwambia partner wako mtumie kinga
saa nyingin si raha kula pipi kwenye mfuko
lakini ni vema kufikiria kabla ya kutenda.
Na utaepusha huo utowaji mimba

Lakini kusema hivyo
Ni vizuri kwa sisi wanawake kuchukua
Vidonge ,sindano a condom za kike au tusifanye kabisa
Kujikinga na ujauzito hata hivyo bado tutumie condom
..
 
Saa zingine raha banaa, usinulize kwanini l.o.l
 
Ningekuwa darasani tungeongea mengi sana hapa.........but in short suala la utoaji mimba halizungumziki kirahisi namna hii........eti kina dada msikubali wanaume wasioeleweka au msikubali kuzaa bila mpangilio au msibebe mimba........ Vichocheo vya jambo hili viko vingi ikiwa pamoja na umasikini, ulaghai, unyanyasaji wa kijinsia, ukosekanaji wa maadili you name it.
 
Yaani mamito we acha tu, hili jambo ni gumu kuliko ugumu wenyewe
 
Yaani mamito we acha tu, hili jambo ni gumu kuliko ugumu wenyewe
maty kuna wanaobakwa na kujikuta wanapata ujauzito na kwa kuwa hatuna vituo vya ushauri vya namna ya kuhimili majanga kama haya basi mtu anajikuta hana jinsi na kukimbilia njia rahisi ya kutoa. But wapo ambao pia kutokana na udhaifu wao wanajikuta hawana say kwenye matumizi ya kinga na hana say juu ya mwili wake so mwenzi anatake advantage kisha anakataa majukumu na mdada akijiangalia hali yake duni...anafanyaje??
Bado ndani ya ndoa kuna wanandoa wanajikuta na wakati mgumu pale mume anapokataa kuzuia mimba na inapotokea imeingia anamwambia mke hataki mtoto.mke afanyeje?
of coz kuna wale ambao kweli ni wazembe wapenda starehe na wanaojiachia hovyo but si sahihi kuwagroup wanawake wote katika kundi moja......ndio wote wanaua lakini sababu za kufanya hivyo zinatofautiana.
 
Hivi kwanini baadhi ya nyie akina dada anaua watoto mliowatafuta kwa starehe zenu? Mtu unajiachia mwenye tena bila kinga yoyote, then ukipata mimba unatoa, je hamjui kuwa hapo anafanya mauji ya viumbe vya MUNGU? Kama hampo tayari kuzaa, kwanini mnajiachia bila kutumia hata lady pepeta? Wazazi wenu wangezitoa mimba zenu, nyie mngekuwepo hapa duniani? Inaniuma sana kwakweli!!!!!!!!!!!

wanasema peremende huwezi kuinyonya na maganda
 
Nimecheka unaposema eti wazazi wenu wangewaua mngekuwepo, so ni heri wale watoto wanazagaa mitaani na kupata shida vile ee. Sema watu wajitahidi wasibebe mimba, ila hili la kuzaa kila mimba bila mpangilio hata siliafiki

Dawa nikufunga kizazi tu ukiona umezaa 10 wanakutosha funga kizazi ujiachie mwanzo mwisho.
 
hakuna dada anayetafuta mtoto mwenyewe lazima mwanaume awepo kama wanaume wasengelala na mtoa mimba isingekuwepo au angekubali kumtunza mtoto nani angeua blame catters both sides
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom