Akina dada mnaouza miili yenu Moshi jiangalieni!

Akina dada mnaouza miili yenu Moshi jiangalieni!

b93154d2fd5da4713583df2880411fa7.jpg
 
Husuda inakusumbua, mtu kama ameamua kuuza mwili wake wewe inakuuma nini? Wewe hapo ulipo huna kasoro/makosa?
 
Sasa si ungewaambia ?
Halafu wanakua hawapo wenyewe wana wateja wanaowaweka hapo.

Anyway papuchi zao ndizo zinatumika wewe linda kifanyio chako
 
Naona kama mtoa mada una issue personal.

1: Ulitongoza demu akakulia pesa na kukuzungusha halafu ghafla siku umeamua kwenda kununua ukakautana naye.
2: Una demu wako wa kitambo ambaye anajifanya descent mbele yako na umeosha naye sana ila siku ya siku ukamkuta anauza huduma ya penzi kwa wateja wa rejareja.
3: Una demu unaemtamani kitambo ukawa unamuogopa au unambwelambwela ukiongea naye halafu ghafla bin vuu unamkuta na yeye anajiuza.

4: Or maybe you are really a descent person looking out for our sisters.

Tunashukuru kwa taarifa. Endelea na utafiti wako ila takwimu za kupika hatutaki
 
Wanaume huwa mnanichekesha sana huwa nasema hivi

Wanawake wengi wanajipodoa kwasababu wanaume wengi hupenda na hutongoza wanawake wenye makeup ya nguvu!

Kwamaneno hayo nakukumbusha tu wanawake wanaujua uchumi kuliko hata Waziri wa uchumi!

"women do provide the best products to the market by looking on what the market want or need" hapo ndo utajua "demand and supply " siyo darasani tu hata kwenye makeup tunaweka

Hata issue ya "makalio makubwa"
Kwakuwa wanaume wengi hata wakiwa na wake zao ama wanawake zao vimbau mbau akipishana na "tukunyema lazima ageuze shingo" ndo maana wanawake wanachoma misindano kukuza uhitaji wa soko!

Wanaume Mungu anawaona mnahitaji visivyopatikana kwa urahisi katka soko

Acha kununua changudoa tafuta demu oa au ishi nae akiexpaya tupa kule tafuta mwingine

Naimani wakujiuza watapungua

sasa demu mwenyewe mpaka umpate, wengi mpaka tupate demu huwa tunachezea sana vibuti (tunakataliwa kimapenzi pale tunapotongoza) so bila kukompliketi tunasachi the easiest way, infact mara nyingi hela unazotumia kumpata na kumkeep demu ni gharama kuliko kununua malaya, malaya are somehow cheaper wiser1
 
Kisuma bar(sugar ray),sewa bar,kimboka bynight,ambiance sinza hizi ni biashara halali kabisa! hata mamlaka zinalijua hilo ndio maana huduma hazisimami 24/7 unakula mzigo![HASHTAG]#mchawi[/HASHTAG] [HASHTAG]#pochi[/HASHTAG] [HASHTAG]#yako[/HASHTAG] #tu [HASHTAG]#arifu[/HASHTAG]

tena ambiance unapata mademu quality UngaUnga
 
Hao watakua wahaya wametoka Bk kuja kuuza mbunye Moshi.

Wakina dada wa moshi wao wanapambana pale Pasua na kibororoni
 
Mnanifurahishaga wanaume mnaposema kwa kujumuisha, 'wanawake acheni umalaya' wakati huo hujui hata mama yako alikupata katika harakati hizo hizo za umalaya
 
Kwa malaya yeyote anaejijua yupo moshi ajiandae kukiona cha mtemakuni.
Hii ni aibu kubwa kwa kinadada au kinamama wa moshi.katika ziara zangu za hapa na pale niliona mambo ya ajabu mpaka nililia.
Mitaa ya MALINDI,PEMBEZONI MWA MAKTABA YA KILIMANJARO,PALE BLACK DIAMONDS HOTEL NA MAENEO YA SHANTY kuna umalaya wa hali ya juu unaendelea.

Kina dada wako uchi uchi,mitako ipo wazi ??! Sababu wanatafuta ela !kwa njia hii haramu kweli?? Ukipewa ela halafu ukaukwaa UKIMWI utalia au kucheka??

Wanauza miili yao kwa sh 5000,10000!!? Kweli?? Kuna mmoja alisikika akisema mbele ni Sh 10000 ,Nyuma ni sh 15000,mbele bila kondomu ni 15000 na Nyuma bila kondomu ni 20000.ni aibu na ni ujinga wa hali ya juu.
Nyie kinadada shida ni nini haswaa??

Ukimwi utawaua nyie mnaojiuza na wateja wenu,kueni makini na tafuteni kazi ya kufanya.mnakera.

Wengine wanafanyia mapenzi kwenye bajaji,nyuma ya kuta za maktaba ya mkoa,nawaambia viongozi kilimanjaro hayo majengo makubwa yenye walinzi usiku yanatumika kama danguro.walinzi wanapewaga sh 2000 kwa kila mtu anaengia.God save us from this shit.

Hao kinadada ukikutana nao mchana utadhani ni malaika na maringo kama sio wanajihusisha na ukahaba usiku.jiangalieni .

Nimeanza na moshi.siku nyingine nakuja dar es salaam,mbeya,mwanza nk.ninayafahamu maeneo yote nchi nzima na tutakamata mmoja mmoja.
Utazunguka mikoa yote hiyo kufuatilia Malaya tu! Siamini na wewe umo kwenye biashara hii maana unajua mpaka vijiwe.
 
Mimi nashangaa eti tanzania baa inafungwa saa tano Usiku.Malaya dar marufuku kujiuza.Yaani eti dar es salaam inaitwa jiji na baa zinafungwa saa 5.nchi inaongozwa kama kanisa..hawa viongozi waliokulia bariadi Wanataka dar yote iwe kama kijijini.kiongozi msomi anatakiwa aruhusu biashara ya madanguro.wao waweke tu VAT yao,,kama supply ipo basi na demand ipo....Swali ni je? Kama demand ya malaya ni kubwa na wao hawapo ni nani atabeba hasara ya kuharibika familia?
 
Back
Top Bottom