Akina dada mnaouza miili yenu Moshi jiangalieni!

Akina dada mnaouza miili yenu Moshi jiangalieni!

Cha mtemakuni,umepanga kuwafanya nn mkuu?
 
Huwa naamini asilimia tisini na tisa ya madada poa wameukwaa cause haimake sense kwa mtu ambaye yupo sure na afya yake akakae mtaani kuuza cause anakuamini nini wewe mteja eti akupe kwa 15000 without protection kama sio anatafuta wa kufa nae.
Kuna wengine hata hawajapima hivyo hawajui hata kama wameathirika au la, na bado wanacheza hizo risk.

Mtu mwenye njaa na akili yake inagoma kufanya kazi.

Kama Mtu yupo tayari kuiba mafuta kwenye transformer linalofua umeme, au yule anayekubali kumezeshwa madawa (kete)...unafikiri hawaioni hatari iliyo mbele yao? ni akili imegoma mamii.
 
asante kwa taharifa muhimu.., nlikua sijui chimbo za Moshi, next time nkija Moshi ntapita apo.
 
Hahaha nikikumbuka malindi na vile vichochoro opposite na black d. Ujana bana..
 
Mtoa mada nakuona uko localized sana, ujatembea nchi za watu na kwa uandishi wako huu sikutofautishi na hao Malaya maana hapa jf Malaya ni wachache sana, ungekuwa na uchungu ungewaeleza palepale tuone kama wasingekupasua na chupa.
 
Nimepitia comment zote nikiangalia General Mangi kama amekoment sijaona kitu kuhusu tuhuma za dada zake kina Manka kutafuta pesa kwa njia haramu
 
Mkuu hizo ni chuki binafsi..tuachie sisi tuna interest nao..ndio rizki wanatafuta..nenda thailand ukaone jinsi umalaya ulivyo ndio utajua kweli tanzania tuna beep tu..
Kweli mkuu pale Bangkok pale kuna danguro hilo hatari hata mchana unapata huduma fresh pia kuna huduma ya massage
 
Dah...habari hii nilikuwa sina kabisa...nimehangaika kweli kweli.... shukran mleta uzi[emoji41]
 
Siku hizi mchana kweupe nkiona mdada kapanda boda boda/bajaji, alafu anaangali angalia simu na kavalia ama skin ya adidasi au dera fulani sex basi huwa najua ni bidhaa inayowai mteja.

Ukahaba umeji upgrade sana 70% ya malaya hawajiuzi tena bara barani, mambo ni mtandao tu
 
Kwa malaya yeyote anaejijua yupo moshi ajiandae kukiona cha mtemakuni.
Hii ni aibu kubwa kwa kinadada au kinamama wa moshi.katika ziara zangu za hapa na pale niliona mambo ya ajabu mpaka nililia.
Mitaa ya MALINDI,PEMBEZONI MWA MAKTABA YA KILIMANJARO,PALE BLACK DIAMONDS HOTEL NA MAENEO YA SHANTY kuna umalaya wa hali ya juu unaendelea.

Kina dada wako uchi uchi,mitako ipo wazi ??! Sababu wanatafuta ela !kwa njia hii haramu kweli?? Ukipewa ela halafu ukaukwaa UKIMWI utalia au kucheka??

Wanauza miili yao kwa sh 5000,10000!!? Kweli?? Kuna mmoja alisikika akisema mbele ni Sh 10000 ,Nyuma ni sh 15000,mbele bila kondomu ni 15000 na Nyuma bila kondomu ni 20000.ni aibu na ni ujinga wa hali ya juu.
Nyie kinadada shida ni nini haswaa??

Ukimwi utawaua nyie mnaojiuza na wateja wenu,kueni makini na tafuteni kazi ya kufanya.mnakera.

Wengine wanafanyia mapenzi kwenye bajaji,nyuma ya kuta za maktaba ya mkoa,nawaambia viongozi kilimanjaro hayo majengo makubwa yenye walinzi usiku yanatumika kama danguro.walinzi wanapewaga sh 2000 kwa kila mtu anaengia.God save us from this shit.

Hao kinadada ukikutana nao mchana utadhani ni malaika na maringo kama sio wanajihusisha na ukahaba usiku.jiangalieni .

Nimeanza na moshi.siku nyingine nakuja dar es salaam,mbeya,mwanza nk.ninayafahamu maeneo yote nchi nzima na tutakamata mmoja mmoja.
Mkuu Nipe namba ya huyo aliyesikika
 
Hao tayari walishaukwaa wanatafuta wa kuondoka nao. Mara nyingi wakishaanza kumeza ABV hunona gafla na kuwa weupee, ila mjanja akichunguza kwenye miguu atagundua, halafu hurudi upya sokoni. Sasa wewe umepata vihela vyako, umesafiri unasema huwa hulali peke yako unaenda kukokota matatizo. Maradhi yakianza unaanza kulaumu majirani wamekuroga lakini humkumbuki aliyekuambukiza kwa maana kwa kiburi cha ujana wako, kazi yako, umaarufu wako, ustaa wako na fedha zako uliamini kuwa wewe una bullet proof ya miwaya..... haya sasa vidonge vinaanza kuwa chakula chako.....haya sasa magari nyumba na mashamba unaacha.......haya sasa fedha zako zote ulizochuma unamalizia kwa waganga na watu wa sanitarium clinic.....haya sasa mwenza wako alikuwa ametulia umeenda kumletea maradhi naye anahangaika kwa kosa ambalo hakulitenda.......haya sasa unaanza kuyashuhudia mateso watakayoyapata watoto wako wapendwa uliokuwa unawasomesha english medium na nje ya nchi...Taamaa zako ....starehe...na ubinafsi. TAFAKARI CHUKUA HATUA
[emoji106]
 
Back
Top Bottom