Akina dada mnaouza miili yenu Moshi jiangalieni!

Akina dada mnaouza miili yenu Moshi jiangalieni!

dunia inawahitaji malaya /makahaba kuliko,malaya wanavyohitaji kuwepo duniani....
pambana na hali yako jombaa....
 
Kwa hiyo,kila mkoa unajua maeneo yao!Na bei zao! Ulijuaje?Maana naona umeingia na vitisho kama vile wamekuingiza mjini na umeogopa kusema kilichokukuta.Uende na huko kwingine wakutoe povu. Wanakula pilipili wao,unawashwa wewe!
 
Huwa naamini asilimia tisini na tisa ya madada poa wameukwaa cause haimake sense kwa mtu ambaye yupo sure na afya yake akakae mtaani kuuza cause anakuamini nini wewe mteja eti akupe kwa 15000 without protection kama sio anatafuta wa kufa nae.
 
Sio wote waliio zaliwa apa Duniani wamekuja kuishi miaka mingi,
 
ukubali ukatae huwezi shindana na taaluma zee kuliko zote ktk historia ya mwanadamu!
 
"...ninayafahamu maeneo yote nchi nzima na tutakamata mmoja mmoja..."

Nchi Nzima unayafahamu masoko?!
 
MTU mwenye akili Siku zote ukemea mabaya na kuamlisha mema ndio utaratibu wa WATU kwenye ofu ya mungu ila mijitu ya ukoo wa shweitani hutetea maovu na kuchukia mema mnaotetea wanawake waendelee kujiuza mlaaniwe
Ulaaniwe wewe mwenye imani ya kinafiki.
Unatenda na kukipenda unachokilaani! Unaua mwizi wakati wewe ni jambazi mkubwa!
Unatoa sadaka ya kujionesha kanisani kwa fedha za uhujumu!
Enyi watu mliokengeuka, mnaohofisha wana wa adamu kwa maslahi ya matumbo yenu, hakika kuuona ufalme wa mbingu ni vigumu.
 
Ok, ngoja nifunge safari nami nikahakikishe kabla sijachangia.
 
Alive kuambia natamani ni nani nani mwenye shida ya makahaba naona unawatetea labda na wewe ni mmojawapo kwa kwenye kuelewa tumeambiwa tukatezane mabaya nakuamlishana mema naisi umechanganyukiwa unatetea mazambi unapingana na aliekupa punzi kataza DUNIA twapita ujue kunamalipo kesho
 
Ndio umetoka kijijini ukaingia town? kwa uzi huu yaelekea ndio mara yako ya kwanza kuona wadada wanaojiuza.
 
Ndio umetoka kijijini ukaingia town? kwa uzi huu yaelekea ndio mara yako ya kwanza kuona wadada wanaojiuza.
 
Nadhani huyu jamaa ni mteja tena mzoefu ndio maana hata bei anaelewa Kaja hapa jukwaani Kujikosha tu ; Biashara yenyewe inafanyika usiku; yeye usiku maeneo hayo anatafuta nini?Pilipili usiyoila inakuwasha nini?
 
Back
Top Bottom