Kwa hiyo wauzaji ni wanawake na wanunuzi ni wanawake... Kumbuka bila muuzaji hakuna mnunuzi na bila mnunuzi hakuna muuzaji. Acha kulaumu wanawake peke yako.Wanawake wameisha asee.wanatakiwa wamrudie mungu.tena wanatamba kweli kweli kumbe usiku ni mafisi
Wewe ni mpuuzi tu ina maana wauza uchi klm wote wachagga kwa taarifa yako wengi dada zako wa huko uliko kumbe huna hata data kuwa wano jiuza wengi wametoka huko mikoani kusaka pesa mkoa wa KLM?? Hujui baadhi ya wanaojiuza ni wanachuo toka huko kwenu??? Kila kabila ss hivi ni utandawazi wa umalaya ukiwemo weweDaah maskinii !!! Wachaga kaokoen Dada zenu
Una karama ya uinjiristi sawa na upo vizuri.Kwa malaya yeyote anaejijua yupo moshi ajiandae kukiona cha mtemakuni.
Hii ni aibu kubwa kwa kinadada au kinamama wa moshi.katika ziara zangu za hapa na pale niliona mambo ya ajabu mpaka nililia.
Mitaa ya MALINDI,PEMBEZONI MWA MAKTABA YA KILIMANJARO,PALE BLACK DIAMONDS HOTEL NA MAENEO YA SHANTY kuna umalaya wa hali ya juu unaendelea.
Kina dada wako uchi uchi,mitako ipo wazi ??! Sababu wanatafuta ela !kwa njia hii haramu kweli?? Ukipewa ela halafu ukaukwaa UKIMWI utalia au kucheka??
Wanauza miili yao kwa sh 5000,10000!!? Kweli?? Kuna mmoja alisikika akisema mbele ni Sh 10000 ,Nyuma ni sh 15000,mbele bila kondomu ni 15000 na Nyuma bila kondomu ni 20000.ni aibu na ni ujinga wa hali ya juu.
Nyie kinadada shida ni nini haswaa??
Ukimwi utawaua nyie mnaojiuza na wateja wenu,kueni makini na tafuteni kazi ya kufanya.mnakera.
Wengine wanafanyia mapenzi kwenye bajaji,nyuma ya kuta za maktaba ya mkoa,nawaambia viongozi kilimanjaro hayo majengo makubwa yenye walinzi usiku yanatumika kama danguro.walinzi wanapewaga sh 2000 kwa kila mtu anaengia.God save us from this shit.
Hao kinadada ukikutana nao mchana utadhani ni malaika na maringo kama sio wanajihusisha na ukahaba usiku.jiangalieni .
Nimeanza na moshi.siku nyingine nakuja dar es salaam,mbeya,mwanza nk.ninayafahamu maeneo yote nchi nzima na tutakamata mmoja mmoja.
Amina .asanteUna karama ya uinjiristi sawa na upo vizuri.
~Mungu hafurahii kifo cha mwenye dhambi,wapo hapo kwa sababu tofauti,na ukiwauliza wengine hawapendi na wengine wanaona raha.
~Wale wanao ona raha si wao ni roho ya ukahaba/uzinzi imewavaa si kawaida kumbuka kuwa shetani ni roho nanhana mwili hutumia kiumbe chochote.
~Wasaidieni kwa upendo,waelekezeni kwa upole,wahurumieni,Yesu anawapenda zaidi wale kuliko sisi tulio jiona tupo sawa,anawatamani waingie kazini.kumbuka mavuno ni mengi ma watenda kazi ni wachache.
HahaaaaNimechekaje hapo kuwa ukikutana naye mchana ni malaika mkuu na hilo ni kweli na tena ukimuopoa kama humjui ataibanaje papuchi analalamika kuwa unaniumiZa jamani... MIE bado bikra Mara haya mambo sijazoea Mara mama mkali haruhusu kuzurura ovyo. Mara Mara ya mwisho kufanya ni miaka mitano iliyopita.yaani wanawake mnavyotuibia tunawaona tu.
hahahaMbona kama mteja mwenye stress
Kuna vitu vya kushindana navyo, sio hicho.Kwa malaya yeyote anaejijua yupo moshi ajiandae kukiona cha mtemakuni.