Akina dada mnaouza miili yenu Moshi jiangalieni!

Akina dada mnaouza miili yenu Moshi jiangalieni!

Mimi nashangaa eti tanzania baa inafungwa saa tano Usiku.Malaya dar marufuku kujiuza.Yaani eti dar es salaam inaitwa jiji na baa zinafungwa saa 5.nchi inaongozwa kama kanisa..hawa viongozi waliokulia bariadi Wanataka dar yote iwe kama kijijini.kiongozi msomi anatakiwa aruhusu biashara ya madanguro.wao waweke tu VAT yao,,kama supply ipo basi na demand ipo....Swali ni je? Kama demand ya malaya ni kubwa na wao hawapo ni nani atabeba hasara ya kuharibika familia?
Una uhakika ba zinafungwa SAA tank dar?
 
Mpumbavu wewe, kaokoe Dada zako sio kujitetea kwa kuponda wahaya mbwa wewe
DUH! IWE BOOJO! SIO KWA POVU HILI BIBIE! MPUNGUZIE UKALI WA MANENO! MAJIBU YA NYAGI HAYO SIUNAJUA WEEKEND LEO DADAA!
 
Mnanifurahishaga wanaume mnaposema kwa kujumuisha, 'wanawake acheni umalaya' wakati huo hujui hata mama yako alikupata katika harakati hizo hizo za umalaya
Mtumiage filters jmn ukali wa maneno
 
Kwa malaya yeyote anaejijua yupo moshi ajiandae kukiona cha mtemakuni.
Hii ni aibu kubwa kwa kinadada au kinamama wa moshi.katika ziara zangu za hapa na pale niliona mambo ya ajabu mpaka nililia.
Mitaa ya MALINDI,PEMBEZONI MWA MAKTABA YA KILIMANJARO,PALE BLACK DIAMONDS HOTEL NA MAENEO YA SHANTY kuna umalaya wa hali ya juu unaendelea.

Kina dada wako uchi uchi,mitako ipo wazi ??! Sababu wanatafuta ela !kwa njia hii haramu kweli?? Ukipewa ela halafu ukaukwaa UKIMWI utalia au kucheka??

Wanauza miili yao kwa sh 5000,10000!!? Kweli?? Kuna mmoja alisikika akisema mbele ni Sh 10000 ,Nyuma ni sh 15000,mbele bila kondomu ni 15000 na Nyuma bila kondomu ni 20000.ni aibu na ni ujinga wa hali ya juu.
Nyie kinadada shida ni nini haswaa??

Ukimwi utawaua nyie mnaojiuza na wateja wenu,kueni makini na tafuteni kazi ya kufanya.mnakera.

Wengine wanafanyia mapenzi kwenye bajaji,nyuma ya kuta za maktaba ya mkoa,nawaambia viongozi kilimanjaro hayo majengo makubwa yenye walinzi usiku yanatumika kama danguro.walinzi wanapewaga sh 2000 kwa kila mtu anaengia.God save us from this shit.

Hao kinadada ukikutana nao mchana utadhani ni malaika na maringo kama sio wanajihusisha na ukahaba usiku.jiangalieni .

Nimeanza na moshi.siku nyingine nakuja dar es salaam,mbeya,mwanza nk.ninayafahamu maeneo yote nchi nzima na tutakamata mmoja mmoja.
Baada ya kununua nyuchi zao kwa wingi kama huna akili nzuri unakuja kulia lia hapa.....huo usiku maeneo ya malaya ww kama si mteja wao ulifuata nn huko?..... shithole!!!!!!
 
Povu LA nini we Kapeace, sema kama we no mhaya
Hahaha naona anatoa povu hatari aisee,maana mitaa yote utakapokuta hio shughuli inafanyika huko Mwananyamala,temeke kote ni wenyewe ndo wengi aisee.
 
zamani kulikua na serial killer Ipswich aliyekua anaua wanawake wanaojiuza tu,isije ikawa kama wewe ,unatafuta njia ya kuhalalisha kuua,otherwise kama uko normal sioni shida ya wewe kuawafatilia wanaojiuza,ni biashara kama nyingine,infact its the oldest business tangia biblia inaandikwa!
 
DUH! IWE BOOJO! SIO KWA POVU HILI BIBIE! MPUNGUZIE UKALI WA MANENO! MAJIBU YA NYAGI HAYO SIUNAJUA WEEKEND LEO DADAA!
Hahah aisee leo nimeelewa kwanini story zake nyingi hua ni za kupigana pumbu tu mwanzo mwisho.
 
Duh kumbe mbele na nyuma sorry na nyumba ni tofauti. Trump utakuwa umesikia Shithole nyingine
 
Umalaya upo toka zama za kale. Wakati wewe unawahofia wataukwaa ukimwi wengine washaunasa tayari..waache bana watajijua wenyewe.
 
Back
Top Bottom