UngaUnga
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 1,724
- 1,471
Nenda buguruni sheli saa10 usiku mwambie boda boda akupeleke zero pub(kwa zero) hatuandikii mate na wino upo chalii yangu!Saa tank? Labda ulimaanisha saa 5.Unaijua baa inayokesha?
Nenda buguruni sheli saa10 usiku mwambie boda boda akupeleke zero pub(kwa zero) hatuandikii mate na wino upo chalii yangu!Saa tank? Labda ulimaanisha saa 5.Unaijua baa inayokesha?
Ushuani huko,hizo takataka huwezi kukutana nazoDah maeneo ya shanty cjawah kuona malaya
Labda km ndo wameanza juzi
Olye empali ya nyokoHahah aisee mbwa akitukana mbwa mwenzake.
Karibuni sana Moshi ndg zangu.
NikomePovu LA nini we Kapeace, sema kama we no mhaya
[emoji57]DUH! IWE BOOJO! SIO KWA POVU HILI BIBIE! MPUNGUZIE UKALI WA MANENO! MAJIBU YA NYAGI HAYO SIUNAJUA WEEKEND LEO DADAA!
Kwa malaya yeyote anaejijua yupo moshi ajiandae kukiona cha mtemakuni.
Hii ni aibu kubwa kwa kinadada au kinamama wa moshi.katika ziara zangu za hapa na pale niliona mambo ya ajabu mpaka nililia.
Mitaa ya MALINDI,PEMBEZONI MWA MAKTABA YA KILIMANJARO,PALE BLACK DIAMONDS HOTEL NA MAENEO YA SHANTY kuna umalaya wa hali ya juu unaendelea.
Kina dada wako uchi uchi,mitako ipo wazi ??! Sababu wanatafuta ela !kwa njia hii haramu kweli?? Ukipewa ela halafu ukaukwaa UKIMWI utalia au kucheka??
Wanauza miili yao kwa sh 5000,10000!!? Kweli?? Kuna mmoja alisikika akisema mbele ni Sh 10000 ,Nyuma ni sh 15000,mbele bila kondomu ni 15000 na Nyuma bila kondomu ni 20000.ni aibu na ni ujinga wa hali ya juu.
Nyie kinadada shida ni nini haswaa??
Ukimwi utawaua nyie mnaojiuza na wateja wenu,kueni makini na tafuteni kazi ya kufanya.mnakera.
Wengine wanafanyia mapenzi kwenye bajaji,nyuma ya kuta za maktaba ya mkoa,nawaambia viongozi kilimanjaro hayo majengo makubwa yenye walinzi usiku yanatumika kama danguro.walinzi wanapewaga sh 2000 kwa kila mtu anaengia.God save us from this shit.
Hao kinadada ukikutana nao mchana utadhani ni malaika na maringo kama sio wanajihusisha na ukahaba usiku.jiangalieni .
Nimeanza na moshi.siku nyingine nakuja dar es salaam,mbeya,mwanza nk.ninayafahamu maeneo yote nchi nzima na tutakamata mmoja mmoja.
Biblia imesema mkilipanga duniani basi na mbinguni limepangwa kama katikati yenu mtakua mpo na mungu hvyo jumapili ni siku ya ibada utaki jinyongeNani kakudanganya Jumapili ni ya ibada?
maeneo ya chamwinoKwa dodoma hiyo huduma ipo pande zipi?
Duh! hapa hata sihitaji mkalimani wala google translator kujua ulichokiandika! wapunguzie ukali wa maneno! jf app yako haina filter ya kuscreen kabla ya kuwa published?!Olye empali ya nyoko
Simple tu COCK SUCKEROlye empali ya nyoko
Huoni mpaka anajua BABU anapewa buku mbili.Tena unaweza kukuta yeye ndio mnunuaji mkubwa..
Je mwanaume aliyeoa wake wengi au wanawake walioolewa pamoja wengi siyo umalaya?Acha povu umalaya ni dunia nzima zaidi nchi za wenzetu wana leseni!
Haaa! Mtu anakemea uovu ww unamkatisha tamaa!ishi maisha yako.Kwani wao kujiiza kunakupunguzia chochote.umalaya haujaanza Leo ata kwenye maandiko zamani hizo hao viumbe walikuepo tu