Akina dada mnaouza miili yenu Moshi jiangalieni!

Kwa malaya yeyote anaejijua yupo moshi ajiandae kukiona cha mtemakuni.
Hii ni aibu kubwa kwa kinadada au kinamama wa moshi.katika ziara zangu za hapa na pale niliona mambo ya ajabu mpaka nililia.
Mitaa ya MALINDI,PEMBEZONI MWA MAKTABA YA KILIMANJARO,PALE BLACK DIAMONDS HOTEL NA MAENEO YA SHANTY kuna umalaya wa hali ya juu unaendelea.

Kina dada wako uchi uchi,mitako ipo wazi ??! Sababu wanatafuta ela !kwa njia hii haramu kweli?? Ukipewa ela halafu ukaukwaa UKIMWI utalia au kucheka??

Wanauza miili yao kwa sh 5000,10000!!? Kweli?? Kuna mmoja alisikika akisema mbele ni Sh 10000 ,Makalio 15000,mbele bila kondomu ni 15000 na Makalio bila kondomu ni 20000.ni aibu na ni ujinga wa hali ya juu.
Nyie kinadada shida ni nini haswaa??

Ukimwi utawaua nyie mnaojiuza na wateja wenu,kueni makini na tafuteni kazi ya kufanya.mnakera.

Wengine wanafanyia mapenzi kwenye bajaji,nyuma ya kuta za maktaba ya mkoa,nawaambia viongozi kilimanjaro hayo majengo makubwa yenye walinzi usiku yanatumika kama danguro.walinzi wanapewaga sh 2000 kwa kila mtu anaengia.God save us from this shit.

Hao kinadada ukikutana nao mchana utadhani ni malaika na maringo kama sio wanajihusisha na ukahaba usiku.jiangalieni .

Nimeanza na moshi.siku nyingine nakuja dar es salaam,mbeya,mwanza nk.ninayafahamu maeneo yote nchi nzima na tutakamata mmoja mmoja.
Kwa hiyo Mchana wanaonekana dada decent na wanafaa kuwa mke kabisa na unaweza toa posa kabisa siyo????
 
Acha ujinga Mkuu,,,umalayaa ulikuepo tangu enzi,,,hizo ni shidaa tu ambazo kila mtu anazo zinazoweza mplekeaa mtuu kufanya hivo,,kwanz usik huo ulikuw unatafta nn maeneo ya malindi?wew utakuw mtejaa
 
Mkuu haujatoa solution..serikali,taasis za kidini na mashirika yasiyo ya kiserikali yafanye nini kuwasaidia dada na mama zetu hao..umeishia kupiga kelele tu..tupe mapendekezo tuweze kuwasaidia
 
Hao tayari walishaukwaa wanatafuta wa kuondoka nao. Mara nyingi wakishaanza kumeza ABV hunona gafla na kuwa weupee, ila mjanja akichunguza kwenye miguu atagundua, halafu hurudi upya sokoni. Sasa wewe umepata vihela vyako, umesafiri unasema huwa hulali peke yako unaenda kukokota matatizo. Maradhi yakianza unaanza kulaumu majirani wamekuroga lakini humkumbuki aliyekuambukiza kwa maana kwa kiburi cha ujana wako, kazi yako, umaarufu wako, ustaa wako na fedha zako uliamini kuwa wewe una bullet proof ya miwaya..... haya sasa vidonge vinaanza kuwa chakula chako.....haya sasa magari nyumba na mashamba unaacha.......haya sasa fedha zako zote ulizochuma unamalizia kwa waganga na watu wa sanitarium clinic.....haya sasa mwenza wako alikuwa ametulia umeenda kumletea maradhi naye anahangaika kwa kosa ambalo hakulitenda.......haya sasa unaanza kuyashuhudia mateso watakayoyapata watoto wako wapendwa uliokuwa unawasomesha english medium na nje ya nchi...Taamaa zako ....starehe...na ubinafsi. TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Kwa malaya yeyote anaejijua yupo moshi ajiandae kukiona cha mtemakuni.
Hii ni aibu kubwa kwa kinadada au kinamama wa moshi.katika ziara zangu za hapa na pale niliona mambo ya ajabu mpaka nililia.
Mitaa ya MALINDI,PEMBEZONI MWA MAKTABA YA KILIMANJARO,PALE BLACK DIAMONDS HOTEL NA MAENEO YA SHANTY kuna umalaya wa hali ya juu unaendelea.

Kina dada wako uchi uchi,mitako ipo wazi ??! Sababu wanatafuta ela !kwa njia hii haramu kweli?? Ukipewa ela halafu ukaukwaa UKIMWI utalia au kucheka??

Wanauza miili yao kwa sh 5000,10000!!? Kweli?? Kuna mmoja alisikika akisema mbele ni Sh 10000 ,Makalio 15000,mbele bila kondomu ni 15000 na Makalio bila kondomu ni 20000.ni aibu na ni ujinga wa hali ya juu.
Nyie kinadada shida ni nini haswaa??

Ukimwi utawaua nyie mnaojiuza na wateja wenu,kueni makini na tafuteni kazi ya kufanya.mnakera.

Wengine wanafanyia mapenzi kwenye bajaji,nyuma ya kuta za maktaba ya mkoa,nawaambia viongozi kilimanjaro hayo majengo makubwa yenye walinzi usiku yanatumika kama danguro.walinzi wanapewaga sh 2000 kwa kila mtu anaengia.God save us from this shit.

Hao kinadada ukikutana nao mchana utadhani ni malaika na maringo kama sio wanajihusisha na ukahaba usiku.jiangalieni .

Nimeanza na moshi.siku nyingine nakuja dar es salaam,mbeya,mwanza nk.ninayafahamu maeneo yote nchi nzima na tutakamata mmoja mmoja.

Hapo ni moshi tu umetoka povu kiasi hicho subiri ukifika dar utakayokutana nayo utasahau hayo ya moshi. Moshi mbona pako kawaida sana hata bei zao ni 'sawa na bure'. Kila la kheri katika operation nchi nzima ya kukamata madada poa.
 
Wanaume huwa mnanichekesha sana huwa nasema hivi

Wanawake wengi wanajipodoa kwasababu wanaume wengi hupenda na hutongoza wanawake wenye makeup ya nguvu!

Kwamaneno hayo nakukumbusha tu wanawake wanaujua uchumi kuliko hata Waziri wa uchumi!

"women do provide the best products to the market by looking on what the market want or need" hapo ndo utajua "demand and supply " siyo darasani tu hata kwenye makeup tunaweka

Hata issue ya "makalio makubwa"
Kwakuwa wanaume wengi hata wakiwa na wake zao ama wanawake zao vimbau mbau akipishana na "tukunyema lazima ageuze shingo" ndo maana wanawake wanachoma misindano kukuza uhitaji wa soko!

Wanaume Mungu anawaona mnahitaji visivyopatikana kwa urahisi katka soko

Acha kununua changudoa tafuta demu oa au ishi nae akiexpaya tupa kule tafuta mwingine

Naimani wakujiuza watapungua
 
Siku hizi wewe unuzia wapi hiyo ndogo? maana toka asubuhi mada zako hazieleweki au una mgongano wa kimaslahi na hao watoa huduma wa malindi?
 
Hao tayari walishaukwaa wanatafuta wa kuondoka nao. Mara nyingi wakishaanza kumeza ABV hunona gafla na kuwa weupee, ila mjanja akichunguza kwenye miguu atagundua, halafu hurudi upya sokoni. Sasa wewe umepata vihela vyako, umesafiri unasema huwa hulali peke yako unaenda kukokota matatizo. Maradhi yakianza unaanza kulaumu majirani wamekuroga lakini humkumbuki aliyekuambukiza kwa maana kwa kiburi cha ujana wako, kazi yako, umaarufu wako, ustaa wako na fedha zako uliamini kuwa wewe una bullet proof ya miwaya..... haya sasa vidonge vinaanza kuwa chakula chako.....haya sasa magari nyumba na mashamba unaacha.......haya sasa fedha zako zote ulizochuma unamalizia kwa waganga na watu wa sanitarium clinic.....haya sasa mwenza wako alikuwa ametulia umeenda kumletea maradhi naye anahangaika kwa kosa ambalo hakulitenda.......haya sasa unaanza kuyashuhudia mateso watakayoyapata watoto wako wapendwa uliokuwa unawasomesha english medium na nje ya nchi...Taamaa zako ....starehe...na ubinafsi. TAFAKARI CHUKUA HATUA
Neno
 
Umalaya ni biashara kongwe duniani ilianza zamani na itakuwepo.
 
Hii biashara ipo duniani kote tangu siku nyingi.

Mkuu umeongea kwa hasira na ghadhabu juu yao. Naona unawahurumia kuliko hata wanavyojihurumia.

Ungewaambia karibu yao ungesikia mapovu yao.

Hakuna jinsi. Hongera hata kwa machache uliyoyaongea.

Ujumbe umewafikia
 
Wewe ulisikiaje, wasipo tafuta utawalisha ugali wewe au?
 
Wachaga siku hizi mpaka WANASASAMBUA........................!!!!
Wachagga mpaka wanaume siku hizi wanapigwa mashine kwa tamaa ya pesa. Utasikia asee Masawe kumbe anaingiza kidogo tu, unatoka na ela yako tayari
 
Back
Top Bottom