Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,749
- Thread starter
-
- #141
Ooohh nilisahau ile ‘Je Utanipenda’ nayo kumbe kamshirikisha Tekno!! Asante kwa kutukimbusha..Sasa hivi anaona kutoa wa kwake ni sheeda hawezi tena amebaki kuimba pamoja
sasa wimbo ukiwa wa pamoja kipi kinabadika ? kwamba ngoma ikiwa kali yeyote kwenye wimbo hasifiwi kisa sio wake peke yake au! Haha haya sifia basi wimbo bila kumtaja msanii yeyote kwenye huo wimbo na ushamba wako (as if huo wimbo umejiimba)Sio wimbo wake ni wa pamoja yaani aka anauweka kwenye album yake halikadhalika diamond pia acha ushabiki mandazi
Platnumz kamzidi KIBAkuli kuimba, kucheza, hela, umaarufu( ndio jamaa yako internationally bado new comer) ....to mention just a few, hata ivo kwenye hii thread hiki kitimtim kinaingiaje???Diamond anamzidi kiba hela tu zaidi ya hapo domond si lolote mbele ya kiba king
TEAM BABA ANGUWewe una team mkuu? Ni team Nani?
hawezi kukuelewa mkuu, hawa mashabiki uchwala wana shida snA.K.A sio rapper bora Afrika.....mfutilie Sarkodie...hataree
Sijui hata ni nini hiki.... Yaani haujaniridhisha Bora utanipenda!Video ya kwanza ya Diamond niliyoishia katikati kuiangalia, haijaniimpress kbs ukilinganisha na nyimbo zake za nyuma...
Ohooo okeyTEAM BABA ANGU
Au hata baba yakekamuulize mkeo au demu wako au hata dada yako
huo utofauti unaouzungumzia ndo utakaoifanya video yake iwekwe KWAPANI..!Katika kitu chochote tunavutiwa na ule utofauti.... nyimbo za magari wameonyesha wengi sana tunataka new taste.... mnapokuwa na timu jaribu pia kuangalia kitu kilicho bora... dimond napenda kazi zake but video ya kiba ilikuw na utofauti ulionivutia sana
Sina uhakika kama Diamond amesema maneno ya kutaka kuteka soko la Marekani kimuziki, kama mpango wake ndo huo hapo kwa 90% atafeli
asante kwa kulionaaaDah yaani mkuu mm mwnyw nimeshangaa, wameiba idea ya video ya snitch ya Obbi Trice ft. Akon,
Nyimbo mbaaaaaaaaya
Video mbaaaaaaaaaya
diamond...Diamond anamzidi kiba hela tu zaidi ya hapo domond si lolote mbele ya kiba king