Tuache double standards:-
Midundo ya Lupela tulisema ya H.Machozi aya hii video imeigwa wapi lazima tutajifanya machizi kua hatujui ila moyoni tunajua.
Tunasema video nzuri ifanane na hadithi ya wimbo aya sasa 'make me sing' watu wanapora bank
Kama angefanya ivi yule mwingine haaaa haaa pangechimbika hapa kua anaenda tofauti na video
Simply Godfather ndio director anaejua Platnumz anataka nini kwenye kichupa uyu aliefanya hii katuibia hii haiwezi kugusa mzigo wa UTANIPENDA kuanzia audio na video,kama vipi mwisho wa mwezi atoe video nyingine hakuna namna.
Vipi kuhusu hii joint na tangazo la voda nini kimefunika mwenzake maana ndio comparison sahihi kwetu duh JF raha sana maana uko kwingine kuna timu Kiba na Platnumz ukimkosoa mmoja wao wanakukimbiza uku shwari kwetu wapenda muziki.