Mmmh hiyo ya majambaziBaada ya kuichek poa nimegundua
Yale manjonjo kama ya zigo nimeyamiss sijayaona... Kuna kautam flan kanako mfanya diamond awe diamond hakapo
Ndo kitu pekee kimekosekana bt video tamuu sanaa.
Hahahaha hayo hayo majambaz mi video sina shida nayo sema tuuu audio sii hiiivoooMmmh hiyo ya majambazi
umeona hapo mkuu!yani wanajikanyaga kanyaga tu...dunk dunk no position,yote pilipili tyr ipo machoni inafanya kazi yake ya kuwashawasha,sasa hawajui wakimbilie maji au maziwa!Ha haaa, team haters at work! hawamtakii mema bali wanamsubiri aanguke wamcheke.
Msema ukweli mpenzi wa Mungu sijaipenda audio wala video .... Mpaka Leo wimbo wa UKIMUONA unanikosha japo ni audio hii ya Leo mmmh Labda kwa vile wameiba hela hahahaaaHahahaha hayo hayo majambaz mi video sina shida nayo sema tuuu audio sii hiiivooo
umeona hapo mkuu!yani wanajikanyaga kanyaga tu...dunk dunk no position,yote pilipili tyr ipo machoni inafanya kazi yake ya kuwashawasha,sasa hawajui wakimbilie maji au maziwa!binaadam ni kiumbe mzito sana aiseHa haaa, team haters at work! hawamtakii mema bali wanamsubiri aanguke wamcheke.
Ukimwona ni the best kwa zote... Anyway ngoja niupe muda huuu may be[emoji56] [emoji56]Msema ukweli mpenzi wa Mungu sijaipenda audio wala video .... Mpaka Leo wimbo wa UKIMUONA unanikosha japo ni audio hii ya Leo mmmh Labda kwa vile Sandoval hela hahahaaa
Hapo umenenaUkimwona ni the best kwa zote... Anyway ngoja niupe muda huuu may be[emoji56] [emoji56]
Hahahaa sawa tusubiri huo muda wizkid p sqwea hawa tu ndio wamepenya hadi marekani kwa dimond ni sawa na kusubiri meli airportBe patient bro!! Only time will tell.. Tutabisha kuhusu hilo August this year..
mbona diamond tayar keshapenya,sema bado muda tu wakuidhihirishia dunia,na dunia ikajua kuwa huyu kinda ni hatareeeee!Hahahaa sawa tusubiri huo muda wizkid p sqwea hawa tu ndio wamepenya hadi marekani kwa dimond ni sawa na kusubiri meli airport
‘kuna baadhi ya watanzania wamejijengea desturi ya kuchukia watanzania wenzao waliofanikiwa’Hahahaa sawa tusubiri huo muda wizkid p sqwea hawa tu ndio wamepenya hadi marekani kwa dimond ni sawa na kusubiri meli airport
Kwani nyie mnamtakia mema Kiba??Ha haaa, team haters at work! hawamtakii mema bali wanamsubiri aanguke wamcheke.
Ukikuta MTU anaesema nagaramia haijatamba inabidi tumpime akili iko juu mpaka Leo labda ifunikwe na lupela tu basiwatu wanafanya kazi kulingana na mikakati yao sio kama unavotaka wewe!iyo nagaramia imekifanya nini cha maana?ebu subiri iyo sumu ya saratani iendelee kusambaa taratibu mwilini mwako!
Nagharamia ina views ngapi U tube? imeshika namba ngapi kwenye chat za TV Africa? mark my words before April, Make me sing itakua na Views nyingi kuliko lupela na nagharamia combined and its vibrations will be all over Africa!Ukikuta MTU anaesema nagaramia haijatamba inabidi tumpime akili iko juu mpaka Leo labda ifunikwe na lupela tu basi
Wakati unasubiri huo muda I think atakua amesharudi tandale na madale ashauzambona diamond tayar keshapenya,sema bado muda tu wakuidhihirishia dunia,na dunia ikajua kuwa huyu kinda ni hatareeeee!
kwa hili jibu lako na fikra zako kweli NIMEEAMINI WATU WA PWANI MNA WAZA UMBEA NA MAJUNGU TU
Lol!Kwenye hizi team tutashuhudia mengi.