AKA & Diamond Platinumz - Make Me Sing [VIDEO]


Ha haaa, team haters at work! hawamtakii mema bali wanamsubiri aanguke wamcheke.
 
Kiukweli hamna lolote la maana tatzo mashabiki wa mondi mnaaendeshwa kwa mihemko, video mbovu na audio mbovu, huyu AKA kachemka sana km ndio anashindana na CASSPER atasubiri sn
subiri tuone coz actions speak louder than mere words...words can build ten storeys house on tha air!
 
kwa hili jibu lako na fikra zako kweli NIMEEAMINI WATU WA PWANI MNA WAZA UMBEA NA MAJUNGU TU
 
Ntaitwa Snitch ila kwenye ukweli tunasema jamani alafu diamond kaonekana kama underground masikini yaani mbwembwe zake sijaziona mle
Baada ya kuichek poa nimegundua
Yale manjonjo kama ya zigo nimeyamiss sijayaona... Kuna kautam flan kanako mfanya diamond awe diamond hakapo

Ndo kitu pekee kimekosekana bt video tamuu sanaa.
 
Reactions: me1
Sasa wewe utanipenda si imetoka na nagaramia atoe mwingine basi
watu wanafanya kazi kulingana na mikakati yao sio kama unavotaka wewe!iyo nagaramia imekifanya nini cha maana?ebu subiri iyo sumu ya saratani iendelee kusambaa taratibu mwilini mwako!
 
Ushauri wa bure tu kwa timu Pop it in....(which is meaningless), yanini kujitafutia stress za bure kujenga uhasama ambao kila siku mnaumbuka, yani hamuamini tu kuwa next international tuzo itakuwa ya jamaa tena!? By the way endeleeni maana hii ndo sehemu yenu ya kuonesha mashauzi (yaani JF kwenu ndo sawa na airport).
 
simbaaaaa mond we bwana mdogo hukamatiki MUNGU akutangulie dogo umenifurahisha umedhihirisha kuwa wewe ni simbaaaaaa mpaka hapa WAPENDA KIKI MSITUFATE TENA NYIE SIO LEVEL YETU tuna cheza MAKE ME SING ndo habareeee jamani we dogo chibu SALUTE!!!!!!! WATAFUTA KIKI BYEE !! hii ni level ya ki Afrika na Duniani sio ki home tena checheeeeeee jiwe limerushwa gizani afu lina upupu maninaaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…