Ajira za walimu zimetoka

f869192d3bb96b6bca76475cfcfc3a02.jpg
 
Mimi nimefurahi haiwezekani tangu nimegraduate 2011 $ijapata kazi ma dogo wa 95 wanizidi milisoma ESM
 
Habari ipo ivo wakuu kama mnabisha ingieni kwenye tovuti ya wizara...hapa ni hesabu na sayansi tu......wa sanaa tukaimbe bongofleva
 
kama ni kweli basi tena Sanaa waifute nchini
Sio kwamba sanaa haitajiki ila sasa hivi uhitaji wa walimu wa sayansi na hesabu uko juu sana na wakati walimu.wa sanaa kwenye ajira ni wengi sana. Kuna shule moja ya sekondari hapa Dar ambaye nimeshuhudia walimu wa masomo ya sanaa wanagawana topic na siyo vipindi.

Hata hivyo ajira ziko hata nje ya serikali..Mi sielewi dhana ya watanzania kila mtu aliyempata degree lazima kuajiriwa na serikali wanaipata wapi. Private sector zipo zinaajiri pia. Hayo masomo ya sanaa nayo yanahitajika ila watu hawajaweza kufikiria mwajiri mwingine tofauti na serikali. Kuna wakati Misri walihitaji walimu 1000 wa kiswahili wenye level ya phd hapa Tanzania wakokosa. Walitaka kuanzisha program kwenye univeristies zao. Nawashauri watu wafikirie hata waajiri wengine ndo wataweza kuona kuwa hakuna ya kufuta sanaa kwasababu serikali haijawaajiri.
 
hio shule kiboko akati shele nyingi za vijijini walimu hata hao was sanaa ni mbinde kuwakuta
 
Habari ipo ivo wakuu kama mnabisha ingieni kwenye tovuti ya wizara...hapa ni hesabu na sayansi tu......wa sanaa tukaimbe bongofleva
Hahahaha kwa hiyo wajaribu tu sanaa mbona Diamond ameweza japokua hajasomea sanaa km wao.
 
Back
Top Bottom