- Thread starter
- #21
Ndugu yangu habari ndiyo iyo kama ulisoma kishazi huru ishakula kwakoAcha uongo.... Mgefahamu kama mnatafutwa nyie mliobuni tangazo msingeongelea hilo suala....
Ndugu yangu habari ndiyo iyo kama ulisoma kishazi huru ishakula kwakoAcha uongo.... Mgefahamu kama mnatafutwa nyie mliobuni tangazo msingeongelea hilo suala....
Kila mwezi unatoa taarifa za mshahara acha utani.Ina maana sisi wa primary hatuajiriw?
Duuuh!!! hata siamini hivi kweli kishazi tegemezi kinaniumbua...aki yanan...Ndugu yangu habari ndiyo iyo kama ulisoma kishazi huru ishakula kwako
Hahaaa,ni kweli mkuu..but najaribu kuwasemea vijana walo hitimu mafunzo ya Grade A..najaribu kuvaa uhusika.Kila mwezi unatoa taarifa za mshahara acha utani.
Na yule nani mara nyingi anaibuka tarehe 22,,anaitwa Mbingo ndio bingwa wa kuuliza mshahara hapa Jf.
Ok nimekuelewa.Hahaaa,ni kweli mkuu..but najaribu kuwasemea vijana walo hitimu mafunzo ya Grade A..najaribu kuvaa uhusika.
Hahaa,kumbe unatufuatilia mkuuOk nimekuelewa.
Ndugu yako Mbingo ataibuka tarehe 22 kuuliza mshahara.
Yaaaap geography na english siyo wengi sanaGeography teacher wachache nao mashuleni
Ndio subiri tarehe 22 Mbingo ataibuka.Hahaa,kumbe unatufuatilia mkuu
Kwanza tutafanya uhakiki wa wagombea hewa ndo tupige kura.Tunaajiri kwa uangalifu mkubwa sana.
Hahah 2020 tutapiga kura kwa uangalifu mkubwa sana mzee wetu.
Eti ualimu ajira za kijingaAjira za walimu hewani ila ni kwa wale walimu wa sayansi pamoja na hesabu. Ndugu zangu na walimu wenzangu wa masomo ya sanaa hii hawamu ya tano hawatuhitaji.
Kama wewe ni mwalimu wa kiswahili, english, geography n.k hebu anza kutafakari nini hatima ya maisha yako, usikae ukapoteza muda kwakusubilia ajira. Tafuta namna nyingine yakukukwamua ktk maisha.
ict ujui upo group gani duhNa awa waliosoma uwalimu wa ict wako kundi gani?
Wewe jamaa mjinga hahahahahah umeniacha hoi kabisa ,nimecheka mpaka watu wameshanga duuu you made ma day ,kishazi huruNdugu yangu habari ndiyo iyo kama ulisoma kishazi huru ishakula kwako