Mmmm hali ni mbaya kwa kweliwalio soma vishazi huru wataisoma number hakuna namna ,
nishaamka. hii taarifa nilipata kwa kuchelewa sana. nilikuwa polini sana afu ccm hawataki kuleta networkHuo ubish wako utakuchelewesha...deadline n 16th..amka
Muda wa kutuma kwani si ulishapita?>>> wale WALIOSOMA Physica Education and SPORTS na BIOLOGY kama MASOMO Ya kufundishia wAnatuma ??>>