Ajira mpya za walimu: Rushwa imetawala ili upate kazi

Watu tuna hangaika kuomba hizi kazi kumbe tayari pdf ya majina imeandaliwa wanasubiri tu muda ufike waiachie.??..Kama tuhuma hizi ni za kweli basi tusiokuwa na connection kazi tunayo..
 
Kimsingi kama unaushahudi juu ya hilo peleka Takukuru ila ninavyofahamu wewe Kama kijana unazosifa za kuaaply wewe omba usisikilize maneno ya Mtandaoni nchi yetu kwa sasa iko makini sana juu ya mambo hayo si rahisi kutokea Kama inavyoelezwa na Mtoa mada.
 
Wapo watu wamefanikiwa wengi tu kwa kufuata utaratibu wa serikali uliopangwa hivyo Kama kijana unazo sifa za ajira zilizotangazwa omba na kila kitu kitafuata utaratibu uliopangwa na si vinginevyo,kinachoendelea kwa sasa ni Maneno ambayo hayana ukweli wowote.
 
Baada ya kubaini u-nyang'au huu hatua ya Kwanza uliyochukua ni kuja kuandika uzi humu? Kwa nini taarifa hii usiipeleke kwa mamlaka zinazohusika na kudhibiti vitendo kama hivi?
Jf ni sehemu sahihi
inawatu wengi na mpaka sasa ujumbe umewafikia wahusika teyari
 
Baada ya JPM maisha yamerudi kuwa murua kwa wenye vitengo, unanijua mimi nani?
 
Uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii


Hatariiii hatariiii hatariiii hatariiii hatariiii hatariiii hatariiii hatariiii hatariiii hatariiii hatariiii hatariiii hatariiii hatariiii hatariiii hatariiii hatariiii hatariiii hatariiii hatariiii hatariiii hatariiii hatariiii hatariiii hatariiii hatariiii hatariiii hatariiii hatariiii hatariiii


Sisi ambao hatuna tuende wap jamaniiiiii
Uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii

Rushwa rushwa rushwa rushwa rushwa rushwa rushwa rushwa rushwa rushwa

Uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii
 
Mimi namtafutia wife hizi kazi.. hiyo milioni mbili nampa nani? Nataka apate kazi hapa Dar
Nipatie nicheki dm naishi na namfahamu mtu ambaye Yuko wizra hyo tamisemi na pia Ni rfk sna na mke wa wazir jafo ambaye nae Ana ushwishi nimeona watu wengi wakifanikiwa kupitia mtu huu wengi wameingia ajirani
 
Back
Top Bottom