kitonger
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 1,149
- 1,511
Kampe CP HAMDUNI mkuuMimi namtafutia wife hizi kazi.. hiyo milioni mbili nampa nani? Nataka apate kazi hapa Dar
Kampe CP HAMDUNI mkuuMimi namtafutia wife hizi kazi.. hiyo milioni mbili nampa nani? Nataka apate kazi hapa Dar
jf ni pana kuliko unavyoifikiriaBaada ya kubaini u-nyang'au huu hatua ya Kwanza uliyochukua ni kuja kuandika uzi humu? Kwa nini taarifa hii usiipeleke kwa mamlaka zinazohusika na kudhibiti vitendo kama hivi?
Hapo ndo utajua watu ni mazwazwa kabisa,mtu anatoa 2M alafu anapelekwa porini.Nitoe 2m kwa kazi ya ualimu!!?
labda mtu aniroge, kwanini hiyo pesa mtu asijianzishie biashara tu apige pesa zaidi hata ya ualimu
Yani utoe milion 2 kwa kazi ya ualimu Tena ya mshahara wa laki 5 au 6.Mkuu nakuaminia, ukipata connection ya wamapoitoa hiyo hela unishtue.. nipo tayar kutoa 2M kwa wife apate hii kazi
Walipangiwa kutoka vyuoniMfumo gani huo?
Jf ni sehemu sahihiBaada ya kubaini u-nyang'au huu hatua ya Kwanza uliyochukua ni kuja kuandika uzi humu? Kwa nini taarifa hii usiipeleke kwa mamlaka zinazohusika na kudhibiti vitendo kama hivi?
Bizness is not for everyoneYani utoe milion 2 kwa kazi ya ualimu Tena ya mshahara wa laki 5 au 6.
Watanzania mbona mko waoga?
Si umfungulie hata saloon hiyo hela inatosha
Tulia Mataga wewe huna adabu kabsaa shenziKafie mbele
Nenda kamfufue SasaBaada ya JPM maisha yamerudi kuwa murua kwa wenye vitengo, unanijua mimi nani?
Nipatie nicheki dm naishi na namfahamu mtu ambaye Yuko wizra hyo tamisemi na pia Ni rfk sna na mke wa wazir jafo ambaye nae Ana ushwishi nimeona watu wengi wakifanikiwa kupitia mtu huu wengi wameingia ajiraniMimi namtafutia wife hizi kazi.. hiyo milioni mbili nampa nani? Nataka apate kazi hapa Dar
Wee ujui umuhimu wa ajira biashra mzeesikiaga tu kwa moo na bakresa acha kbsa ajira Ni muhimu Sana wengi mno wanatamani nao walipweNitoe 2m kwa kazi ya ualimu!!?
labda mtu aniroge, kwanini hiyo pesa mtu asijianzishie biashara tu apige pesa zaidi hata ya ualimu
Una uhakika tulia tuRushwa nje nje siku hizi hawana cha kuogopa. Kwa jpm mtu ulikuwa ukimpa hela hata ndogo tu ya soda. Anaikataa. Kwa sasa unalazimishwa kutoa