KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 4,598
- 4,197
Tulilijua hilo. Ajira za amri tu ni uongo wa kutupa. Hizi ni pamoja na zile za jeshi. Ni njia ya kuudanganya Umma kwa kujua kwamba baada ya muda unasahau na pia kuahirisha matatizo kwa kudhania yatajitatua yenyewe.Utaajiri bila bajeti mkuu achana na wanasiasa wanaongea kutafuta kupendwa ila kwa ground mambo tofauti serikali aijatenga bajeti utaajiri alafu uwalipe nini