Ajinyonga baada ya kuambiwa mtoto si wake

Ajinyonga baada ya kuambiwa mtoto si wake

Assuming Kweka wa Bunju alikutana na situation kama hii na ana chuma kiunoni angefanyaje?ni kuzibua tu likafe mbele huko.

Mimi ndiyo maana nawaona wanaomiliki IDs za kiume humu halafu wakamtetea yule malaya aliyetawanywa ubongo huko Bunju nawaona makhanithi tu hawajui namna hizi chvpi zinavyotenda mabaya kwa wanaume.
 

Wameanza Rudisha Mashambulizi...
Na Wakisema Watumie Silaha Hiyo Iliyotumika Kumuangamiza Huyo Kijana...
Gemu Itakuwa Tafu Mnoo....
###YetuMimacho###
​
 
Nimesoma ujumbe wa mwisho aliouandika na sms alizomtumia uyo mpenzi wake sababu Kubwa ni kua hakutaka mwana alelewe na mwanaume mwingine na io ndo sababu aliyoandika marehemu mwenyewe
 

Attachments

  • TikTok · LUCHEVY_1791491876979.mp4
    1.2 MB
Back
Top Bottom