Ajinyonga baada ya kuambiwa mtoto si wake

Ajinyonga baada ya kuambiwa mtoto si wake

Aisee huyu jaaa hata kama alikua hana dhambi inabid achomwe moto huwezi kujiua kizembe namba hiyo huku unamuacha aliyekuumiza anandunda na nyama choma nixer connection za kina harmonize na mwiguru
 
Kijana murij mkazi wa mbeya ametambulika kua aliwahi kua mwanafunzi wa shule ya iyoto mbeya, na amesoma na baadhi ya watu maarufu akiwrmo aunty lulu.

Murij alikua akiishi na mpenzi wake Binti kwa muda wa miaka mitatu 3, kama kawaida aliamka kwenda kazin asubuhi, alipo fika akatumiwa ujumbe na mpenzi wake kua ameondoka na amekwenda kwa mwanaume alie zaa nae, huyo mtoto na sio wa murij hivo ajue hilo.

Jamaa kashindwa kihandle situation kaamua kujinyonga.

Nimekumbuka Arusha, yule Binti sauda wa Tanga , asubuhi nipo job mara sms, alex unajua mi Nina watoto wa baba mwingine, hivo basi naona huta weza ishi nao naomba tuachane, dah nikifikiria sijawahi kumkosea kitu hata hao watoto siwajui dah nikawaza sa inakuwaje hii basi nikamjibu sawa. Ikizingatiwa nisha mfuma anaongea na mzazi mwenza mara kibao, nakausha tu

Baadae eti akadai alikua ananipima.imani, nikaona red flag hii. mmmh Imani Gani ya hivo nisikilize sauda kuanzia leo usitume sms yoyote kwa namba yangu marufuku takufata hapo uswahilini nikupe noma acha mara Moja, mi nawewe it's over

Huku NAUMIA moyoni ndio uanaume sabtafanyeje alafu demu NAMPENDA kinoma shepu imesimam kiuno laini, sura mashaallah, ila ahhg potelea potwe, asepe zake tu .
Hili tukio limenipa maona yakuleta nyuzi yakusaidia watu,let me work on it
 
Umeniangusha kiongozi ungemaliza kila kitu kisha n ww usepe kwa sir jah. Pumzika kwa amani kamanda.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Angemwua huyo mwanamke kwanza halaf ndio ajinyonge na yeye, apumzike anapostahili
Nakushauri ukikutana na Hali hii usiwaze kuua wala kujua.
Nenda tafuta pisi ingine ujipoze machungu halafu jiapize hutazingatia tena mwanamke.
Utagundua maisha ni mazuri ukijipenda mwenyewe.
Kwanini MTU akupangie maisha yako kwani yeye Mungu?
 
Channel your anger into something positive like nice food ,workout ,ventur, sports and games not by commiting suiced or killing someone else
YAH bro, mm mwnyw nikiwa nna hasira hua natumia pesa kununua kitu chcht hasa kula then naenda kulala, hata nikiwa na stress zangu lazima nifanye hvy
 
Hakuna maamuzi magumu hapo, hayo n maamuzi ya kifala
Unajua wanasemaga Kila mtu ana survival instinct ndani ya mwili wake na huwa si rahisi kuzi overcome, kwahiyo ndiyo nakubaliana na wewe kuwa ni ufala lakini pia kuweza kuzi overcome hizo instinct za kuendelea kuwa hai na kujimaliza binafsi naona ni maamuzi magumu mno aise
 
Back
Top Bottom