Ajali au Ajari....???
kero tupuu
Kamanda unaniangusha Kamanda,unapotea sana Kamanda,inabidi kabla ya mwaka kuisha tuwe tumemuhamisha mtu toka Mwanza kuja Dar Kamanda..
Dah hicho kichwa cha habari balaa
hahahahahaaaa...!!!. mia
Kupokea like kutoka kwa charminglady
Ahsante sana kipenzi wa moyo wangu charminglady kwa kunigongea like kwa mara ya kwanza katika thread fulani hivi,....hii kwangu ni kama ajari ya kufa mtu,hii inanipa nguvu sana katika safari yangu ya kukupata.
Hata hivyo nimeoteshwa kuwa hiyo mimba ya house boy wangu C6 utajifungua Ugali wa mtama.na huo ndio utakuwa mwanzo wangu kwa mbwe mbwe zote'jiandae mama wa shughuli Madame B ,mpiga tarumbeta Judgement best man St. Paka Mweusi,nafasi zingine kuendelea kupangwa na @FP
Niseme tu your my number one............. mwaaaaaaaaa!!!!!!!!
shukrani zangu zikuendee popote ulipo kwa ajili ya hapo kwenye red.
Wadau mkisikia uongo uliokomaa mpaka ukaota nywele ndo huu. nina kama 3 months natumia simu kuingia jf, siwezi kugonga like kwa yeyote. mtoa mada hebu tupia link ya huo uzi nlio-like. otherwise tutakufungulia kesi ya kuidanganya Jamhuri ya wana chitchat!!!!!!!
wakati ndio sasa jiandae tu, wapanga shughuli tupo, kuna makungwi wa kutosha tu hapa
Wadau mkisikia uongo uliokomaa mpaka ukaota nywele ndo huu. nina kama 3 months natumia simu kuingia jf, siwezi kugonga like kwa yeyote. mtoa mada hebu tupia link ya huo uzi nlio-like. otherwise tutakufungulia kesi ya kuidanganya Jamhuri ya wana chitchat!!!!!!!
bangi mbaya,,,, ilikuwaje mama kijacho charminglady ukatoa like kwa mvuta bange?