ajari!...ajari....ajari!...... ya kutisha

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
Kupokea like kutoka kwa charminglady


Ahsante sana kipenzi wa moyo wangu charminglady kwa kunigongea like kwa mara ya kwanza katika thread fulani hivi,....hii kwangu ni kama ajari ya kufa mtu,hii inanipa nguvu sana katika safari yangu ya kukupata.

Hata hivyo nimeoteshwa kuwa hiyo mimba ya house boy wangu C6 utajifungua Ugali wa mtama.na huo ndio utakuwa mwanzo wangu kwa mbwe mbwe zote'jiandae mama wa shughuli Madame B ,mpiga tarumbeta Judgement best man St. Paka Mweusi,nafasi zingine kuendelea kupangwa na @FP

Niseme tu your my number one............. mwaaaaaaaaa!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
wakati ndio sasa kwanini mara zote unataka kutokea mgongoni kwa charminglady? It is disgusting, and when something is too much becames harmful. NOW be creative coz everytime you start thread it's charminglady all over though this is chit-chat zone
Kiongozi umeguswa sharubu eeh?
Watu mko too protective jamani, mtu kutajwj tu tayari kesi!

Kama charminglady anakupenda kikweli, na kama uliwahi kumsindikiza hadi kwake bila kupata tafrani ya Polisi Jamii, basi mwachilie huru, na kama na yeye anakupenda basi hatakuchakachua, na atarudi kwako salama salmin.
 
Last edited by a moderator:
Kiongozi umeguswa sharubu eeh?
Watu mko too protective jamani, mtu kutajwj tu tayari kesi!

Kama CHAMIngLady anakupenda kikweli, na kama uliwahi kumsindikiza hadi kwake bila kupata tafrani ya Polisi Jamii, basi mwachilie huru, na kama na yeye anakupenda basi hatakuchakachua, na atarudi kwako salama salmin.

Nashangaa sana Arushaone kuwaka et kisa nimemtaja charminglady ,nilitegemea mtu wa kuwaka awe C6 mpenzi wa cl au mwanasheria wake ruttashoborwa
 
Last edited by a moderator:
Aijipii angetoa taarifa kuwa ulipopigwa risasi shingon ulikuwa unamsindikiza dadako kutoka send off party.

mmmmm hiyo bahati nikiipata ya kumsindikiza charminglady et tunatoka kwenye kikao!mbona polisi jamii watasubiria sana lakini hatutokei ng'o
 
Last edited by a moderator:
Wewe Wakati ndo sasa karibia utawehuka wewe, nahisi CL amekuweka kwenye chupi,.. No i mean chupa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom