ajari!...ajari....ajari!...... ya kutisha

Kamanda unaniangusha Kamanda,unapotea sana Kamanda,inabidi kabla ya mwaka kuisha tuwe tumemuhamisha mtu toka Mwanza kuja Dar Kamanda..
 
Kupokea like kutoka kwa charminglady

Ahsante sana kipenzi wa moyo wangu charminglady kwa kunigongea like kwa mara ya kwanza katika thread fulani hivi,....hii kwangu ni kama ajari ya kufa mtu,hii inanipa nguvu sana katika safari yangu ya kukupata.

Hata hivyo nimeoteshwa kuwa hiyo mimba ya house boy wangu C6 utajifungua Ugali wa mtama.na huo ndio utakuwa mwanzo wangu kwa mbwe mbwe zote'jiandae mama wa shughuli Madame B ,mpiga tarumbeta Judgement best man St. Paka Mweusi,nafasi zingine kuendelea kupangwa na @FP

Niseme tu your my number one............. mwaaaaaaaaa!!!!!!!!

RiajaRI RImetokea aROO kiswahili cha kuRE kwa akina nyeReRe
 
Last edited by a moderator:
Wadau mkisikia uongo uliokomaa mpaka ukaota nywele ndo huu. nina kama 3 months natumia simu kuingia jf, siwezi kugonga like kwa yeyote. mtoa mada hebu tupia link ya huo uzi nlio-like. otherwise tutakufungulia kesi ya kuidanganya Jamhuri ya wana chitchat!!!!!!!
 
shukrani zangu zikuendee popote ulipo kwa ajili ya hapo kwenye red.

yaani ungekuwa karibu yangu ningekukimbiza ndio nini sasa kutishana wewe hujui kuwa tunapresha kali tunaposikia ajali ebooo wakati ndio sasa umekuja kuwa hapa mjini wewe... afu ajali yenyewe cg bora hata angekuwa madame b au BT
 
Last edited by a moderator:
Wadau mkisikia uongo uliokomaa mpaka ukaota nywele ndo huu. nina kama 3 months natumia simu kuingia jf, siwezi kugonga like kwa yeyote. mtoa mada hebu tupia link ya huo uzi nlio-like. otherwise tutakufungulia kesi ya kuidanganya Jamhuri ya wana chitchat!!!!!!!

mimi nisingelijua jna lake kama sio ye kuandika kuhusu wewe. Kila atakachoandika lazma kikuhusu. Msikilize mwenzio
 
Wadau mkisikia uongo uliokomaa mpaka ukaota nywele ndo huu. nina kama 3 months natumia simu kuingia jf, siwezi kugonga like kwa yeyote. mtoa mada hebu tupia link ya huo uzi nlio-like. otherwise tutakufungulia kesi ya kuidanganya Jamhuri ya wana chitchat!!!!!!!

unalo hilo unagongansha magari enh!
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom