Ajali yaua ndugu watano wakitoka msibani Mbeya

Ajali yaua ndugu watano wakitoka msibani Mbeya

Mkuu mtoa mada kuna siku ulianzisha mada ya memes za yule jamaa wa New Force, nikakwambia hayo mambo yanahamasisha mwendokasi ambao unaleta ajali. Possibly hata hiyo Raum ilikuwa kibati sana.

Poleni kwa msiba mkuu ila narudia tena acheni kushabikia mwendokasi iwe kwenye mabasi au chombo chochote.
Mimi nmeona dereva alikuwa ni dereva mzoefu wa jeshini nikajisemea basi ndio maana
 
Maisha yalivo mafupi,huwa nashangaa sana kuona watu wanagombania wanawake,viwanja,mashamba, etc.
Kitu kikubwa unachopaswa kugombania duniani ni afya njema na furaha baasi,ile ya moyoni unaamka unasalimia watu,unakula, unashiba baasi
Hii comment inauhusiano gani na huu msiba?
 
Ni kweli. Kuanzia Imezu Darajani mpaka Itewe lami yake ni ile tunaita big G, imebondekabondeka. Huwa inasabisha magari kuyumba na kupoteza mwelekeo, huenda ndio chanzo cha ajali
Ni balaa aisee kama kipande cha Ruvu-Mlandizi enzi zile
 
Hiyo barabara ni mbaya sana. Kwanza nyembamba, imewekwa mawimbi naaloro mazito ya kubeba shaba ipo miteremkoni. Magufuli alitanua barabarq hiyo toka huko Iringa. Alipofika hapo Igawa kuingia Mbeya akasimama. Siasa za ajabu sana.

Ponapona hapo ni kutanua hiyo barabara hadi Tunduma kama ilivyo kwa Iringa.
 
Mboya ni moja ya koo kubwa za Kichagga, huyo anayesema Mboya ni watu wa Mbeya ni either hajui vizuri ama ameamua kupotosha
Sasa Ndo ujue hujui Huyu mboya hana hata ndugu wa kusingiziwa huko Moshi ,maana binafsi namfaham ,zamani nilifikiri pia ni mtu wa moshi ila nilivyokuja uliza kasema hana hata ndugu wa kusingiziwa huko ,Huyu mboya ana undugu na kina Mboma wale wa mbeya Unyiha.
 
Ajali mbaya ya gari leo asubuhi maeneo ya Itewe-Inyala Mbeya imegharimu maisha ya ndugu zetu watano wa familia moja walio kuwa wakitokea msibani Mbeya kurudi Dar es salaam. Waliofariki ni

Thomas Mboya,
Isabella Mboya,
Joyce Mboya,
Magreth Masaka,
Sevelina Mgalla

Ajali hii ilihusisha gari ndogo aina ya Toyota Raum pamoja na Lori kugongana uso kwa uso. Majeruhi ni mtoto wa jina lake ni Erick Mboya.

Walitoka kumzika shangazi yao.
Bwana alitoa na Bwana ametoa Jina lake lihimidiwe[emoji1317][emoji1317][emoji1317]

I know this family we lived neighbors for years

View attachment 1947533View attachment 1947534View attachment 1947535View attachment 1947537
Poleni! Wapumzike kwa Amani! Malika aliyejeruhiwa apone upesi[emoji1431]
 
Hiyo barabara ni mbaya sana. Kwanza nyembamba, imewekwa mawimbi naaloro mazito ya kubeba shaba ipo miteremkoni. Magufuli alitanua barabarq hiyo toka huko Iringa. Alipofika hapo Igawa kuingia Mbeya akasimama. Siasa za ajabu sana.

Ponapona hapo ni kutanua hiyo barabara hadi Tunduma kama ilivyo kwa Iringa.
[emoji1756][emoji1756][emoji1756]
 
Sasa Ndo ujue hujui Huyu mboya hana hata ndugu wa kusingiziwa huko Moshi ,maana binafsi namfaham ,zamani nilifikiri pia ni mtu wa moshi ila nilivyokuja uliza kasema hana hata ndugu wa kusingiziwa huko ,Huyu mboya ana undugu na kina Mboma wale wa mbeya Unyiha.
[emoji1756][emoji1756][emoji1756]
 
Mboya ni moja ya koo kubwa za Kichagga, huyo anayesema Mboya ni watu wa Mbeya ni either hajui vizuri ama ameamua kupotosha
Huu ujinga wa kugombania jina vijana wa bavicha mtaucha lini

USSR
 
Back
Top Bottom