Ajali yaua ndugu watano wakitoka msibani Mbeya

Kwa gari dogo kama Raum na ubovu wa kile kipande cha lami, huwezi tembea mwendokasi huo uliotaja...

Halafu ni eneo lina kona, milima na miteremko mikali, kama ushawahi sikia Mlima Nyoka...
Hilo eneo niliwahi kukata uzi wa tairi ya mbele kufika soweto nikaivua tairi imevimba vimba kama imeng’atwa na nyuki! Mashimbo yakipuuzi sana halafu wajinga wenye ma bus yale ma HINO wanatanua bila kujielewa hovyo hovyo!
 
Wachagga ndiyo maana hampewi kuongoza nchi,, mmekaa kibinafsi na kujitenga. Wachache wanajitambua
We nawe mpuuzi tu. Niambie wapi hapa kuna mtu amejifia kwa njia yoyote ile. Na mambo ya uongozi yametoka wapi? Nyie ndo mnaongoza sana? Halaf unadhani kila mtu ni dream yake kusa mwanasiasa? Very stuppid of u.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Mungu awape ustahimilivu wafiwa.

Serikali isaidie mazishi.

Marehemu wapumzike kwa amani.

Familia zibadilishwe msimamo wa kusafiri pamoja kwa chombo cha usafiri kimoja kuepusha maafa makubwa kwenye ukoo.

Amina
 
Hilo eneo niliwahi kukata uzi wa tairi ya mbele kufika soweto nikaivua tairi imevimba vimba kama imeng’atwa na nyuki! Mashimbo yakipuuzi sana halafu wajinga wenye ma bus yale ma HINO wanatanua bila kujielewa hovyo hovyo!

Noma sana kile kipande...kama hujakizoea unaweza tumia masaa kibao kukimaliza kwa hofu ya kuharibu gari
 
Back
Top Bottom