msomi kutoka znz
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 667
- 3,111
jamaa yangu mmoja frank tarimo mzee wa rimbo mashati huwa hakubali kabisa kupanda gari moja na wanafamilia wenzake wakitoka kwenye msiba ...hahah anasema haiwezi familia yote ipotee.. yuko radhi apande basi ndugu zake wabaki kwenye fortuner mixer na masix pack ya heinkein.