miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,409
- 11,086
Kuna mwingine wa ndonde family aisee wamefariki juzi, at first waliandika wamedariki 6. Wote walikua wanaenda msibani familia moja watu wa nyasa. Baadae wakiwa wanatoa maiti rafiki yangu cathe akazinduka aisee. Basi wakamtoa wakampeleka wodini. Amefariki mama yake na mdogo wake na nduguze wengine. Halaf walikua very close na nyumbani. Cathe analalamika anaumwa kichwa na mguu. Sina hata gats za kumchek aiseeUkisikia jambo limezua jambo ndiyo hii sasa.Yani msiba mmoja umezua msiba mwingine.Pole kwa wafiwa wote na mungu azilaze mahala pema peponi roho za marehemu.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app