Ajali yaua ndugu watano wakitoka msibani Mbeya

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,525
Ajali mbaya ya gari leo asubuhi maeneo ya Itewe-Inyala Mbeya imegharimu maisha ya ndugu zetu watano wa familia moja walio kuwa wakitokea msibani Mbeya kurudi Dar es salaam. Waliofariki ni

Thomas Mboya,
Isabella Mboya,
Joyce Mboya,
Magreth Masaka,
Sevelina Mgalla

Ajali hii ilihusisha gari ndogo aina ya Toyota Raum pamoja na Lori kugongana uso kwa uso. Majeruhi ni mtoto wa jina lake ni Erick Mboya.

Walitoka kumzika shangazi yao.
Bwana alitoa na Bwana ametoa Jina lake lihimidiwe

I know this family we lived neighbors for years

FB_IMG_1632215016054.jpg
FB_IMG_1632215027507.jpg
FB_IMG_1632215019586.jpg
Screenshot_20210921-191143_Facebook.jpg
 
Maisha yalivyo mafupi, huwa nashangaa sana kuona watu wanagombania wanawake, viwanja, mashamba, etc.

Kitu kikubwa unachopaswa kugombania duniani ni afya njema na furaha baasi, ile ya moyoni unaamka unasalimia watu, unakula, unashiba baasi
 
Maisha yalivo mafupi,huwa nashangaa sana kuona watu wanagombania wanawake,viwanja,mashamba, etc.
Kitu kikubwa unachopaswa kugombania duniani ni afya njema na furaha baasi,ile ya moyoni unaamka unasalimia watu,unakula, unashiba baasi
Au wanajaza server za jf…. Right?

Maisha ni maisha ishi kama uko hai… ili hata ukifa tujue uliishi

Kama mtiti wa mademu ndio zako, we kandamiza tu
 
Ajali za aina hii watoto huwa wanapona, sijui kuna siri gani hapo? au ni udogo wa miili yao ndio kinga yao? au ni utukufu wa Mungu na andiko waache wadogo waje kwangu, kwamba anawalinda kwasababu ni kama malaika?

Marehemu wapumzike kwa amani.
 
Maisha yalivo mafupi,huwa nashangaa sana kuona watu wanagombania wanawake,viwanja,mashamba, etc.
Kitu kikubwa unachopaswa kugombania duniani ni afya njema na furaha baasi,ile ya moyoni unaamka unasalimia watu,unakula, unashiba baasi
Ok fine ,maisha Ni mafupi lakini kamwe siwezi kukubali kuona haki yangu inapotea harafu nikae kimya kisa Kuna kifo.

Kufa Ni kawaida ,hivyo Haina haja ya kukihofu mkuu,hata maandiko yatuasa hivyo.

Zaburi 39:4-6

“Ee Mwenyezi-Mungu, unijulishe mwisho wangu, siku zangu za kuishi zimenibakia ngapi, nijue yapitavyo kasi maisha yangu!” Kumbe umenipimia maisha mafupi sana! Maisha yangu si kitu mbele yako. Hakika, kila binadamu ni kama pumzi tu! Kweli, kila mtu anapita kama kivuli; jitihada zake zote ni bure tu; anakusanya mali, asijue atakayeipata!
 
Hv hiyo mitaa si huwa ina viraka
nakumbuka safari moja nilidrive dar mbeya mbeya dar hiyo mitaa naipata kabisa
Ukifanya mzaha umaweza gongana na malori head to head
Ni pabaya sana nshapita nadrive kwenda Mbeya hadi Chunya hapo pabaya sana hata ile familiya ya Mwandunga ambaye walitoka kwenye Send off mwaka juzi familia ya watu 5 walipoteza maisha wakitoka Mbeya. Mwandunga ni jirani yangu Dar
 
Ajali za aina hii watoto huwa wanapona, sijui kuna siri gani hapo? au ni udogo wa miili yao ndio kinga yao? au ni utukufu wa Mungu na andiko waache wadogo waje kwangu, kwamba anawalinda kwasababu ni kama malaika?

Marehemu wapumzike kwa amani.
Hakuna Siri yoyote Bali mwenyezi mungu kaweka ukomo kwa kila kiumbe hai,Kama kikomo chako hakijafika huwezi kukufa kamwe!!
 
Ajali mbaya ya gari leo asubuhi maeneo ya Itewe-Inyala Mbeya imegharimu maisha ya ndugu zetu watano wa familia moja walio kuwa wakitokea msibani Mbeya kurudi Dar es salaam. Waliofariki ni

Thomas Mboya,
Isabella Mboya,
Joyce Mboya,
Magreth Masaka,
Sevelina Mgalla

Ajali hii ilihusisha gari ndogo aina ya Toyota Raum pamoja na Lori kugongana uso kwa uso. Majeruhi ni mtoto wa jina lake ni Erick Mboya.

Walitoka kumzika shangazi yao.
Bwana alitoa na Bwana ametoa Jina lake lihimidiwe

I know this family we lived neighbors for yearsView attachment 1947533View attachment 1947534View attachment 1947535View attachment 1947537
Msiba ulikwa wa mama yake Kanali Dvid Mwaijumba. Ambao walienda kumzika Julia Paza Mboya, Mama yake David Mwaijumba, Rashid Kindole, Hassan Kindole na Mtage Kindole
 
Back
Top Bottom