USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,060
- 28,513
Mchaga anamzidi mhaya kwa sifaWhy wachagga ni wa2 ambao wanapenda kujisifu?
USSR
Mchaga anamzidi mhaya kwa sifaWhy wachagga ni wa2 ambao wanapenda kujisifu?
Mchaga anamzidi mhaya kwa sifa
USSR
Hee Mkuu umenyanganywa my girl friend wako nini?Maisha yalivo mafupi,huwa nashangaa sana kuona watu wanagombania wanawake,viwanja,mashamba, etc.
Kitu kikubwa unachopaswa kugombania duniani ni afya njema na furaha baasi,ile ya moyoni unaamka unasalimia watu,unakula, unashiba baasi
Utakuja udundwege ndio uache kidomo domo 😅😅😅Na ni wababr balaa. Yaani wanajigeuzaga hata matrafiki barabarani hawa wajeda. Juxi nasafiri dereva wa jeshi ana iveco kafabya makosa wenyewe halaf anamwambia dereva wa shabiby nakuambia leo huondoki shuka[emoji849][emoji849] kibabeee. Mpaka anajipiga ngumi kiganjani. Kwani tunanyamazaga basi wanaharakati? [emoji23][emoji23][emoji23] na hivi ninekaa nyuma ya dereva naona kila kitu nikavimba na kupokelewa na abiria wengine. Basi akawa mpole and he is like nendaaa... nikajifanya kwani ni trafiki?[emoji23][emoji23] ntanakula mashutii
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Mbeya kwenda Chunya unapita Inyala? Acha kutulisha matango pori Mkuu, hakuna ujiko kwenye kusema nilikuwa na drive🤣Ni pabaya sana nshapita nadrive kwenda Mbeya hadi Chunya hapo pabaya sana hata ile familiya ya Mwandunga ambaye walitoka kwenye Send off mwaka juzi familia ya watu 5 walipoteza maisha wakitoka Mbeya. Mwandunga ni jirani yangu Dar
Kama ni mwanajeshi ndio maana anafikiri Kila kitu kinamtii.Pichani ni Thomas Mboya ambaye ndiye aliyekuwa dereva wa Raum.
Ni mwanajeshiView attachment 1948068 Thomas Mboya R. I. P.
Mchaga ana sifa Wacha mchezo kabisaLakinii wahaya wametulia kimyaa,,huwasikii.
Hizi ajali zimeanza kurudi wahudika wawajibishwe kwa uzembe hasa polisi wa usalama barabarani.Ajali mbaya ya gari leo asubuhi maeneo ya Itewe-Inyala Mbeya imegharimu maisha ya ndugu zetu watano wa familia moja walio kuwa wakitokea msibani Mbeya kurudi Dar es salaam. Waliofariki ni
Thomas Mboya,
Isabella Mboya,
Joyce Mboya,
Magreth Masaka,
Sevelina Mgalla
Ajali hii ilihusisha gari ndogo aina ya Toyota Raum pamoja na Lori kugongana uso kwa uso. Majeruhi ni mtoto wa jina lake ni Erick Mboya.
Walitoka kumzika shangazi yao.
Bwana alitoa na Bwana ametoa Jina lake lihimidiwe[emoji1317][emoji1317][emoji1317]
I know this family we lived neighbors for years
View attachment 1947533View attachment 1947534View attachment 1947535View attachment 1947537
Kabisa, na hata mjini Moshi kuna stand ya daladala wameamua kuiita stendi ya MBOYANamshangaa... yaani ni kubwaaa mno. Mboya kubwa sana. Halaf kuna mboya na mbuya. Mbuya nadhani iko marangu tu.
Watu wanaona kama vile ukabila ila hawajui faida yake ikitokea tatizo. Huwa tunaaddress ukoo kwanza kabla ya mengine then inakua rahisi kujua hii koo ni ya wapi. Inakua rahisi zaidi kumpata.
Kuna mzee mmoja kwao songea huko nimeona tabgazo lake anatangazwa wa kinyerezi huko hawajui familia yake ila jina la ukoo limekua msaada. Sasa sijui kwann watu wanajisikia vibaya kuwa addressed na mambo ya home kwao
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Soma sentensi nzimaMbeya kwenda Chunya unapita Inyala? Acha kutulisha matango pori Mkuu, hakuna ujiko kwenye kusema nilikuwa na drive[emoji1787]
Msitiri marehemuKama ni mwanajeshi ndio maana anafikiri Kila kitu kinamtii.
Ha ha ha balaaa. Wanawake wao ni mamborooWe ni mboroo
Pumzika[emoji706]Punguza ujuaji basi duuh umekazana majina ya Moshi majina ya Moshi kwa taarifa yako sasa, huku mkoa wa Songwe wilaya ya Ileje kuna eneo linaitwa kwa Mboya wala hawana uhusiano wowote na KLM achilia mbali hiyo kulowea uliyong'ang'ania.
Badae utasema hata yule Tom Mboya wa Kenya nae ni mchaga.
Jisifie na wewe basi.Why wachagga ni wa2 ambao wanapenda kujisifu?
Huyo muhaya mwenyewe kwani ana niniLakinii wahaya wametulia kimyaa,,huwasikii.
Hawa wana usalama wana uoneaji sana barabatani aisee. Uendesgaji wao mbaya sana.Utakuja udundwege ndio uache kidomo domo [emoji28][emoji28][emoji28]
Unapendaga ku quote maujinga yako uliyopost.
Achana nao. Ndo kama yale yale ya ukoo wa nyange. Unawaangalia unawaachaKabisa, na hata mjini Moshi kuna stand ya daladala wameamua kuiita stendi ya MBOYA
Hii gari huenda iliruka bump kwa speed ikapaa usawa wa scania sababu haieleweki Raum inaichakazaje Scania namna hii!?Ajali mbaya ya gari leo asubuhi maeneo ya Itewe-Inyala Mbeya imegharimu maisha ya ndugu zetu watano wa familia moja walio kuwa wakitokea msibani Mbeya kurudi Dar es salaam. Waliofariki ni
Thomas Mboya,
Isabella Mboya,
Joyce Mboya,
Magreth Masaka,
Sevelina Mgalla
Ajali hii ilihusisha gari ndogo aina ya Toyota Raum pamoja na Lori kugongana uso kwa uso. Majeruhi ni mtoto wa jina lake ni Erick Mboya.
Walitoka kumzika shangazi yao.
Bwana alitoa na Bwana ametoa Jina lake lihimidiwe[emoji1317][emoji1317][emoji1317]
I know this family we lived neighbors for years
View attachment 1947533View attachment 1947534View attachment 1947535View attachment 1947537