Erick kafariki?Nae ameshakata moto tayari
Erick kafariki?Nae ameshakata moto tayari
Dah haya maisha haya ,mtoto mdogo Sana kufariki.Duh maana najua alinusurika kumbe kavuta anaitwa Erick Mboya
Hiyo taarifa sikuwa nayo
Madereva wa taasisi kama majeshi ndio wa hovyo me sipandi gari zao binafsi kwa sababu huona kama wako kwenye ma iveco, zile za jeshi watu huziheshimu wanakaa pembeni unapita sasa ukiwa na karaum kako ujifanye kama iveco, watu wanafagia tu.Mimi nmeona dereva alikuwa ni dereva mzoefu wa jeshini nikajisemea basi ndio maana
[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]Dah haya maisha haya ,mtoto mdogo Sana kufariki.
Sometimes wanahisi wana bima za maisha yaoMadereva wa taasisi kama majeshi ndio wa hovyo me sipandi gari zao binafsi kwa sababu huona kama wako kwenye ma iveco, zile za jeshi watu huziheshimu wanakaa pembeni unapita sasa ukiwa na karaum kako ujifanye kama iveco, watu wanafagia tu.
Kabisa na hii ajali itakuwa chanzo ni huyo dereva wa jeshiMadereva wa taasisi kama majeshi ndio wa hovyo me sipandi gari zao binafsi kwa sababu huona kama wako kwenye ma iveco, zile za jeshi watu huziheshimu wanakaa pembeni unapita sasa ukiwa na karaum kako ujifanye kama iveco, watu wanafagia tu.
Wanajeshi huendesha magari rafu sana yaniHuyo Thom Mboya ni dereva mzoefu wa jeshi
Jamaa alihisi yupo kwenye IVECO ndio tatizo lilipoanzia! Yani ukute Raum alikuwa anapigiza 180 akishuka 150 KPHMadereva wa taasisi kama majeshi ndio wa hovyo me sipandi gari zao binafsi kwa sababu huona kama wako kwenye ma iveco, zile za jeshi watu huziheshimu wanakaa pembeni unapita sasa ukiwa na karaum kako ujifanye kama iveco, watu wanafagia tu.
[emoji23][emoji23] hapana, ningeweza ningekupa mfano wa majina ya ukoo wangu ulivyo na majina mengi ya kiukoo. Mboya ni wachagga kabisaa. Ila sasa wanatumia mboroo na mboya. Huko moshi hawainagi noma kuitwa mboroo ila huku dar weee[emoji23][emoji23] mboroo alishakimbia kkoo. Mkibosho yule na ufupi wake alivyo mkorofi poohUkiona kakoma nalo bado hatotoa kibiashara au kielimu. Wakitoboa wanajiita mboya wakati mboya ni majina ya kinyakyusa
Siyo hao tuu mkuu, ni wa kada zote za usalama. Raha yake tu ni kwamba barabarani hutosumbuliwa na matrafiki. Lakini huo usalama ndo daahMadereva wa taasisi kama majeshi ndio wa hovyo me sipandi gari zao binafsi kwa sababu huona kama wako kwenye ma iveco, zile za jeshi watu huziheshimu wanakaa pembeni unapita sasa ukiwa na karaum kako ujifanye kama iveco, watu wanafagia tu.
Na ni wababr balaa. Yaani wanajigeuzaga hata matrafiki barabarani hawa wajeda. Juxi nasafiri dereva wa jeshi ana iveco kafabya makosa wenyewe halaf anamwambia dereva wa shabiby nakuambia leo huondoki shuka[emoji849][emoji849] kibabeee. Mpaka anajipiga ngumi kiganjani. Kwani tunanyamazaga basi wanaharakati? [emoji23][emoji23][emoji23] na hivi ninekaa nyuma ya dereva naona kila kitu nikavimba na kupokelewa na abiria wengine. Basi akawa mpole and he is like nendaaa... nikajifanya kwani ni trafiki?[emoji23][emoji23] ntanakula mashutiiJamaa alihisi yupo kwenye IVECO ndio tatizo lilipoanzia! Yani ukute Raum alikuwa anapigiza 180 akishuka 150 KPH
Hapana, Mikumi mjini, unapopanda kale kamlima immediately ukishaacha junction ya kwenda KilomberoIyovu sio?
Napigilia nyundo mkuu.Au wanajaza server za jf…. Right?
Maisha ni maisha ishi kama uko hai… ili hata ukifa tujue uliishi
Kama mtiti wa mademu ndio zako, we kandamiza tu
We ni mboroo[emoji23][emoji23] hapana, ningeweza ningekupa mfano wa majina ya ukoo wangu ulivyo na majina mengi ya kiukoo. Mboya ni wachagga kabisaa. Ila sasa wanatumia mboroo na mboya. Huko moshi hawainagi noma kuitwa mboroo ila huku dar weee[emoji23][emoji23] mboroo alishakimbia kkoo. Mkibosho yule na ufupi wake alivyo mkorofi pooh
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Punguza ujuaji basi duuh umekazana majina ya Moshi majina ya Moshi kwa taarifa yako sasa, huku mkoa wa Songwe wilaya ya Ileje kuna eneo linaitwa kwa Mboya wala hawana uhusiano wowote na KLM achilia mbali hiyo kulowea uliyong'ang'ania.Na ni wababr balaa. Yaani wanajigeuzaga hata matrafiki barabarani hawa wajeda. Juxi nasafiri dereva wa jeshi ana iveco kafabya makosa wenyewe halaf anamwambia dereva wa shabiby nakuambia leo huondoki shuka[emoji849][emoji849] kibabeee. Mpaka anajipiga ngumi kiganjani. Kwani tunanyamazaga basi wanaharakati? [emoji23][emoji23][emoji23] na hivi ninekaa nyuma ya dereva naona kila kitu nikavimba na kupokelewa na abiria wengine. Basi akawa mpole and he is like nendaaa... nikajifanya kwani ni trafiki?[emoji23][emoji23] ntanakula mashutii
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Punguza ujuaji basi duuh umekazana majina ya Moshi majina ya Moshi kwa taarifa yako sasa, huku mkoa wa Songwe wilaya ya Ileje kuna eneo linaitwa kwa Mboya wala hawana uhusiano wowote na KLM achilia mbali hiyo kulowea uliyong'ang'ania.
Badae utasema hata yule Tom Mboya wa Kenya nae ni mchaga.