EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
- Thread starter
- #121
Hatukuwepo kushuhudiaSasa hii ajali imekaaje kwamba gari ilimshinda dereva ama ilikuwaje?
Hatukuwepo kushuhudiaSasa hii ajali imekaaje kwamba gari ilimshinda dereva ama ilikuwaje?
[emoji28]Nami bado najiuliza hilo lori lilivyochakazwa na raum! Raum ilipaa?
[emoji1756][emoji1756][emoji1756]Kwa gari dogo kama Raum na ubovu wa kile kipande cha lami, huwezi tembea mwendokasi huo uliotaja...
Halafu ni eneo lina kona, milima na miteremko mikali, kama ushawahi sikia Mlima Nyoka...
Tom ni over 40 nani dereva mzoefu saaaana wa JWTZUkiona dogo (20-30yrs) ndiye amekaa kwenye usukani, long root, na gari design ya RAUM, usipande hiyo gari.
[emoji1756][emoji1756][emoji1303]Hiyo njia ya kijinga sana. Ukizubaa gari inahama inaingia chini ya Rory,yaani lami imekuwa uji uji marinda kibao.
Saaaana[emoji1317][emoji1317]Ni msiba mzito kwa familia, wapumzike salama na poleni Sana mlioguswa na msiba huu
Pole sana mkuuKuna mwingine wa ndonde family aisee wamefariki juzi, at first waliandika wamedariki 6. Wote walikua wanaenda msibani familia moja watu wa nyasa. Baadae wakiwa wanatoa maiti rafiki yangu cathe akazinduka aisee. Basi wakamtoa wakampeleka wodini. Amefariki mama yake na mdogo wake na nduguze wengine. Halaf walikua very close na nyumbani. Cathe analalamika anaumwa kichwa na mguu. Sina hata gats za kumchek aisee
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Nyie watu mnaong'ang'ana na mambo ya mbeya Mara kibosho ni eidha elimu zenu ziko chini au ukabila umewajaa,mboya kuwa mtu wa mbeya au kibosho yote Ni sahihi ,ikumbukwe kuwa wote Hawa Ni wabantu,hivyo majina ya kibantu Yana ufanano mkubwa,Ni rahisi Sana kumkuta mtu Anaitwa Malimi ambaye ni msukuma,mhahaya,mkurya au mjita hii ni sababu ya ubantu wa watanzaniaHivi mboya ni kibosho na marangu eh? Nina anko wangu ni mboya ya marangu. Nadhani wa kibosho wamehamia maana marangu ndo inasikikaga sana na ni wengi mno
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Kwa taarifa huyo mdogo amefariki pia akiwa katika matibabu hospitaliAjali za aina hii watoto huwa wanapona, sijui kuna siri gani hapo? au ni udogo wa miili yao ndio kinga yao? au ni utukufu wa Mungu na andiko waache wadogo waje kwangu, kwamba anawalinda kwasababu ni kama malaika?
Marehemu wapumzike kwa amani.
Mkuu mboya ipo old moshi pia.Hawa watakua walihamia huko. Hakuna mboya mbeya. Mboya ni koo ya kichagga. Na ni kubwa sana. Wamelowea huko tu. Nitakubishia milele mkuu
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ukweli mtupiMaisha yalivo mafupi,huwa nashangaa sana kuona watu wanagombania wanawake,viwanja,mashamba, etc.
Kitu kikubwa unachopaswa kugombania duniani ni afya njema na furaha baasi,ile ya moyoni unaamka unasalimia watu,unakula, unashiba baasi
Pichani ni Thomas Mboya ambaye ndiye aliyekuwa dereva wa Raum.Ajali mbaya ya gari leo asubuhi maeneo ya Itewe-Inyala Mbeya imegharimu maisha ya ndugu zetu watano wa familia moja walio kuwa wakitokea msibani Mbeya kurudi Dar es salaam. Waliofariki ni
Thomas Mboya,
Isabella Mboya,
Joyce Mboya,
Magreth Masaka,
Sevelina Mgalla
Ajali hii ilihusisha gari ndogo aina ya Toyota Raum pamoja na Lori kugongana uso kwa uso. Majeruhi ni mtoto wa jina lake ni Erick Mboya.
Walitoka kumzika shangazi yao.
Bwana alitoa na Bwana ametoa Jina lake lihimidiwe[emoji1317][emoji1317][emoji1317]
I know this family we lived neighbors for years
View attachment 1947533View attachment 1947534View attachment 1947535View attachment 1947537
Pole na wewe kwa kuondokewa na majirani bestie...Pole sana mkuu
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756] jamaa nimesoma nae alikua mbele yangu madarasa mawili KZ SECPichani ni Thomas Mboya ambaye ndiye aliyekuwa dereva wa Raum.
Ni mwanajeshiView attachment 1948068 Thomas Mboya R. I. P.
Waweza sema hivyo ila haiondoi uhalisia. Na hakuna aliyesema kwamba siyo wabantu. Sasa History ilisomwa shule ili iweje. Ukabila my foot. Yes, Mbeya hakuna ukoo wa mboya by nature. Hao wamelowea tu. Kwani kuna ubaya gani. Ndo akina mboroo hao sasa tena kama ni mkibosho[emoji28] na nitamwita anko wangu mboroo leoNyie watu mnaong'ang'ana na mambo ya mbeya Mara kibosho ni eidha elimu zenu ziko chini au ukabila umewajaa,mboya kuwa mtu wa mbeya au kibosho yote Ni sahihi ,ikumbukwe kuwa wote Hawa Ni wabantu,hivyo majina ya kibantu Yana ufanano mkubwa,Ni rahisi Sana kumkuta mtu Anaitwa Malimi ambaye ni msukuma,mhahaya,mkurya au mjita hii ni sababu ya ubantu wa watanzania
Eeh, akina mboroo hao... hivi hadi huko wanaitwaga hivyo pia? [emoji28][emoji28] mabifu ya wazee wanahamaga aisee...Mkuu mboya ipo old moshi pia.
polen wafiwa, chanzo ni nini haswaAjali mbaya ya gari leo asubuhi maeneo ya Itewe-Inyala Mbeya imegharimu maisha ya ndugu zetu watano wa familia moja walio kuwa wakitokea msibani Mbeya kurudi Dar es salaam. Waliofariki ni
Thomas Mboya,
Isabella Mboya,
Joyce Mboya,
Magreth Masaka,
Sevelina Mgalla
Ajali hii ilihusisha gari ndogo aina ya Toyota Raum pamoja na Lori kugongana uso kwa uso. Majeruhi ni mtoto wa jina lake ni Erick Mboya.
Walitoka kumzika shangazi yao.
Bwana alitoa na Bwana ametoa Jina lake lihimidiwe[emoji1317][emoji1317][emoji1317]
I know this family we lived neighbors for years
View attachment 1947533View attachment 1947534View attachment 1947535View attachment 1947537
Hata hatujajua badopolen wafiwa, chanzo ni nini haswa