The Mongolian Savage JF-Expert Member Joined Jul 5, 2018 Posts 9,259 Reaction score 20,518 Aug 27, 2020 #41 Likampuni la mwendokasi liloanzishwa kifisadi nakuendeshwa kifisadi limetoa kafara
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 43,026 Reaction score 51,258 Aug 27, 2020 #42 Kinoamiguu said: bodaboda alikatisha kwenye zebra ya mwendokasi akiwa anaendesha ili kuhamia Click to expand... Sijaelewa
Kinoamiguu said: bodaboda alikatisha kwenye zebra ya mwendokasi akiwa anaendesha ili kuhamia Click to expand... Sijaelewa
baiser JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 1,487 Reaction score 2,264 Aug 27, 2020 #43 Huyo aliyegongwa hata sio boda boda ni MTU mzima kabsa anakaa goba .alikuwa anatoka kwenye safari zake. Pumzika kwa amani jiran wa rafik angu
Huyo aliyegongwa hata sio boda boda ni MTU mzima kabsa anakaa goba .alikuwa anatoka kwenye safari zake. Pumzika kwa amani jiran wa rafik angu