Ajali Morogoro: Mrithi wa Villa Park Makambako afariki

Ajali Morogoro: Mrithi wa Villa Park Makambako afariki

tafuta hela tu mkuu "" hela ni hela tu ..hakuna cha Pesa za kichawi wala za halali muhimu niuwe na Pesa tu ...maana zote hzo zinategemea mzunguko wa aina moja ili kuweza kukufikia .....hao wanaosema cjui Fulani anahela zakichawi wanawivu tu "" usikute wanashindwa hata kusomesh wtoto zao kwajili yakukosa Pesa ....so kipi bora sasa uache kuwa na Pesa kisa nizakichawi halafu wanaowanakufa na njaa huku wanakosa mahitaji stahiki au uwenazo ili familia yako ipate mahitaji yote stahiki huku ikiishi luxury life.
maisha kwàni yana mantiki IPI kama huna kitu ...na kwanni uone kuwa yanathamani wkati IPO Siku utakufa thamani yake iko wapi ...tunadanganywa kuwa maisha yanathamani ili tuendelee kuishi nakulipa kodi tu nakuwanufaisha wenye mamlaka ili waendlee kuishi kupitia sis ....wakati katika uhalisia hayana uthamani huo kwa sabbu tunakufa ..na hayo maisha ilikuweza kuyaishi vyema inabidi uwe unauwezo wakulipia bills kibao ....
otherwise utaishia kuwa kituko mbele ya Jamii......mkuu tafuta Pesa achana na maneno ya watu .....kawaida ya watu nikusema tu ....hata ukizipata hizo za halali watasema kuwa una uza sembe
Dah kwahio mwamba we hela zako za manyagu nyagu sio, hata kama kuna kutolewa kafara kwako babu kubwa tu!
 
Kawaida ya makabila ya nyanda za juu kusini wana utaratibu wa kumuweka pia mdogo/kaka wa marehemu kuwa muangalizi wa familia husika yaani kusaidiana na shemejie katika kuendeleza familia
Kwa hiyo usishangae mkuu ni kawaida sana
Ata kama hakuwa na kaka/mdogo basi wanamteua Dada kama yupo asimamie familia vinginevyo kama alizaliwa peke yake labda
Atasimama mkewe tu
Huu utaratibu haujarishi ni tajiri au masikini
Ni kweli kabisa hata Mimi rafiki yangu alifiwa na baba yake mzazi,alikuwa Ni tajiri baba mdogo ndiye aliye kabidhiwa familia na Mali kuziendeleza!nawamesoma vizuri tu
 
mrithi mwingine wa haraka wa VILLA PARK anatakiwa.Vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
Nilidhani ni yule aliyekuwa anajichukua video akionyesha speed yake kwenye dashboard akala mzinga...wa Ar ni tofauti..anyways apumzike kwa amani
Hivi yule wa "mark x alikua ni Nani hasa?ni mji gani?maana zile speed sio mchezo duh kph 180..!!
Nilijua tu asingefika mbali kwa barabarani zetu
 
Daaa....kwa hiyo saaizi atakaye rithi naye atafia Moro kwa ajali na ukitajwa kurithi hamna kukataa.....
kuna kaka ake wa huyu dogo ndio itabid ashikirie maana mwanzo walimpa wakaona anapiga bata ikabidi wampe huyo dogo sasa saiv anakuwa yeye maana mbadala wake ndio kashatangulia
 
Dah kwahio mwamba we hela zako za manyagu nyagu sio, hata kama kuna kutolewa kafara kwako babu kubwa tu!
hahaa mbona serikali huwa inawatoa watu wake kafara kwaajili ya maslahi yao mkuu ...na watu hawasemi kitu boss ...kifo cha akwilina ..kutoweka kwa Ben SAA nane ..kutoweka kwa azory kushikiliwa kwa nondo !!? yote hayo siyana jiri kwaajili yakulinda maslahi ya watu "" mfumo wa maisha ya ya viumbe wote jinsi ulivyo nilazima pawe na kundi LA watu ama wanyama ama wadudu Fulani wanaonufaika kwaajili ya kuwakandamiza watu/viumbe Fulani ....huu ndio ukweli ukiowazi ambao wtu wengi hawataki kuusikia lakini ndio ukweli halisi huo .....USA .UK .CHINA,, NA NCHI NYINGINE zenye nguvu kubwa ya kijeshi mbona zinawatoa watu makafara kwakuwa uwa na silaha zca kivitka huku wana sbabisha uchochezi katika mataifa mengine ili wao wapate kujinufaisha kwa kuiba rasilimali zao "" in short ukitaka kuwa mkubwa kiukwasi ..lazima ujiandae kuwa mtu mwenye dhulma ..mtu ambaye unapindisha haki"" kitu ambacho nacho nidhamb pia ...kama ilivyokutoana kafara tu
 
Kwahio we ni mnazi wa mambo ya kupuliza
hahaa mimi kwa wnaofnya hivyo naona wanafnya sawa tu "" kwasbabu ukiachana na elimu maisha ili yaweze kusonga na kuwa bora yanasiri kubwa mnooo . "" twaweza kusema kuwa ili uwe na ukwasi unapaswa kuwa na elimu nikweli kabisaaa tena sahihi haswaaa ..lakini namim nitauliza kwahiyo waliokosa elimu hawapaswi kuwa na ukwasi hata kama wanajitambua ...na yakupasa ufahamu hata kama wanajitambua hawawezi kupata kazi yenye mshahara utakao weza kuwasaidia kuweza kutimiza ndoto zao...sasa kwakuwa huwa wanalitambua hilo basiii kimbilio lao huwa ni biashara ...sasa huko kwenye biashara ili waweze kutimiza ndoto zao za kuwa na ukwasi..aiseee mambo wanayo yafanya hapo sasa ndio utafurahi mwenyew na roho yako ....hahaaa
 
hahaa mbona serikali huwa inawatoa watu wake kafara kwaajili ya maslahi yao mkuu ...na watu hawasemi kitu boss ...kifo cha akwilina ..kutoweka kwa Ben SAA nane ..kutoweka kwa azory kushikiliwa kwa nondo !!? yote hayo siyana jiri kwaajili yakulinda maslahi ya watu "" mfumo wa maisha ya ya viumbe wote jinsi ulivyo nilazima pawe na kundi LA watu ama wanyama ama wadudu Fulani wanaonufaika kwaajili ya kuwakandamiza watu/viumbe Fulani ....huu ndio ukweli ukiowazi ambao wtu wengi hawataki kuusikia lakini ndio ukweli halisi huo .....USA .UK .CHINA,, NA NCHI NYINGINE zenye nguvu kubwa ya kijeshi mbona zinawatoa watu makafara kwakuwa uwa na silaha zca kivitka huku wana sbabisha uchochezi katika mataifa mengine ili wao wapate kujinufaisha kwa kuiba rasilimali zao "" in short ukitaka kuwa mkubwa kiukwasi ..lazima ujiandae kuwa mtu mwenye dhulma ..mtu ambaye unapindisha haki"" kitu ambacho nacho nidhamb pia ...kama ilivyokutoana kafara tu
Duh aisee pagumu, ina maana mengi alitoa watu kafara?
 
Kwa bahati nzuri nilibahatika kuhuzulia mazishi ya mmiliki Wa hiyo lodge stori ambazo nilisikia ni kuwa utajiri wake ni ule wa "tego" yaani kila baada ya miaka lazima afe ndugu ili kuendeleza hizo Mali.
Kimachame tunasemaga woi iruwa mangi.
 
yule kaka yake mwaka jana kabla japata ajali..mke wake alifariki kama sijakosea akiwa anajifungua..wakafa mama na kichanga..wakazikwa kaburi moja la gorofa. (mama akaanza chini kisha mtoto akazikwa juu yake...
akabaki huyo mume wake ambae nae akala mzinga mbaya sanaakiwa na dem mmoja (mwalimu na MKE wa mtu) ..aliianzia safari yake pale mafinga jion baada YA MECHI..
sasa dogo mrithi nae kafata kwa staili ile ile kama ya kaka yake..zote ajali...

huyo mjane wa kaka mkubwa ni yupi? maana alianza yy kufa
Wakinga ni noma mbaya,
 
Hahahahhaa unaambiwa idadi ya mahindi ambayo jogoo atadonoa ndio miaka utayoishi.. then mahindi yanarushwa paaap ghafla jogoo anadonoa punje moja halafu anaikata nusu anakula na nusu anaacha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio utajua kwanini pombe halali kisa maandamano!
Pombe halali kisa maandamano[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zinatokea chanzo gani?

Umeandika utumbo...pesa ni hizo hizo zinazochapishwa kiwandani ndio zinazunguka, hakuna majini wanazalisha za kwao tuache ujinga.
wewe ndiye poyoyo
unajua pesa ni hizo karatasi na hivyo vyuma vya silver?
mali za hawa watu si halali ndio maana ya utajiri wa mazindiko
fc35f0df3d23a9428ea06f04237380e1.jpg

Kaka mtu
 
Back
Top Bottom