Ajali Morogoro: Mrithi wa Villa Park Makambako afariki

Ajali Morogoro: Mrithi wa Villa Park Makambako afariki

kuku atakuwa alikula punje mbili,si unajua ule uganga wao kuku anarushiwa mahindi atakayokula ndo miaka mtakayoishi sasa huyu kuku wao naona alikula punje mbili tu maskini
Hahahah ***** apo ndio utajua kuwa ata samli ni chizi ila aipelekwi lutindi!
 
hahah...huyo jamaa mbona ni wa mda sana..yule alikuwa anasema daslam mojaaaaa..haina mpambe..mark x hiyo...bams nalegeza kidogo...inapanda hiyo mshale uko kwenye 180 mbele haiend ..hahaha...magari haya noma sana
Nini kilifata baada ya hapo mkuu
 
Nawaza tu sijui mumewe alipokeaje maiti ya mkewe haya mambo yanatisha kwakweli
ulishawai kuona aibu ukiwa kwenye jeneza? ndo hapo mwenzangu ndo maana unatakiwa kila siku umuombe Mungu akujalie kifo chema .akuepushe na kifo cha aibu daaah .ila ni bahati mbaya ilimtokea mwenzetu
 
ulishawai kuona aibu ukiwa kwenye jeneza? ndo hapo mwenzangu ndo maana unatakiwa kila siku umuombe Mungu akujalie kifo chema .akuepushe na kifo cha aibu daaah .ila ni bahati mbaya ilimtokea mwenzetu
Kweli kabisa Mungu atusaidie hii ni zaidi ya aibu
 
Back
Top Bottom