mkuu hayo machaka yote mimi nayajua wala usipate shida ....kuishi kiboya boya kam nimekuja kuzurula duniani nikitu ambacho nimewahi kukipinga tngu nikiwa amature ...na nashukuru sipo tena huku """Kama ni rahisi hivyo kajisajili tu iringa hapo upige hela kisha upige mbung'a nang'ado!
nashangaa kil mtu apambane na hali Yke aiseeCha ajabu ni nini kwa mfano
Mmesha anza..wabongo nuksi kweli. [emoji35]Traffic inabidi wadeal na hawa jamaa,yale makelele ni uchafuzi wa mazingira.
Acha unganga wako basiiii. .Huyu kijana nikimuangalia ni lazima alikuwa mwendo kasi kabisa...
Tbway ana cha kujifunza kwenye hili asipobadilika tutamuanzishia uzi......
Japo hii ajali ya huyu ina maswali maana ina fanana kabisa na ya kaka yake...
Kwa hiyo atakayerithi naye mwakani kwaoooo!!masharti yanawamaliza mmoja mmoja... ina wezekana mkataba wao ulikuwa wa muda mfupi
Hapo unatengua kwanza.. Unamwambia mganga akubadilishie ,hiyo huwa inaruhusiwa.. Jogoo akidonoa punje moja wewe sema nimeshindwa.Hahahahhaa unaambiwa idadi ya mahindi ambayo jogoo atadonoa ndio miaka utayoishi.. then mahindi yanarushwa paaap ghafla jogoo anadonoa punje moja halafu anaikata nusu anakula na nusu anaacha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio utajua kwanini pombe halali kisa maandamano!
Ndo uwaambie Team Tezza wenzio muache makelele yenu barabarani braza.Mmesha anza..wabongo nuksi kweli. [emoji35]
Mkuu nakuunga mkono Mimi tangu nilipojua thamani ya pesa basi nazitafuta kweli na nazipata hasa. Duniani kuna vitu viwili tu sivifanyii ajizi 1.kuabudu 2.kutafuta pesamkuu hayo machaka yote mimi nayajua wala usipate shida ....kuishi kiboya boya kam nimekuja kuzurula duniani nikitu ambacho nimewahi kukipinga tngu nikiwa amature ...na nashukuru sipo tena huku """
maisha bila mali niujinga tu ...unaishi iliiweje sasa.? "" unakwenda shule kusoma ili iweje sasa "" ?? ukisisha bila pesa jiandae kuishi kama mkimbizi katika nchi yko mwenyew ...huwezi kuwa na sauti yenye nguvu ....jiandae kutosikilizwa hata namkeo ....hahàaa
Huko Iringa kuna likitu huitwa 'LITEGO' hili kombora hutumika kufuatia nung'uniko la mnung'unikaji kuelekeza kwa waliomnung'unisha, kama ulishiriki au hukutenda haki kwa mnug'unikaji litakupitia tu!sasa kama kaka yake alifariki akaacha Mke na Watoto huyo mdogo wake ilikuwaje tena awe mrithi?? inawezekana hilo nalo ndio chanzo cha tatizo,mtu ametafuta mali akiwa na mke wake kwa jasho leo yy aje kuwa mrithi kisa tu mdogo wa mtu.
n kawaida ya wakinga mahela ya manyoka n heri waibe kwa kalamu kama akina mangisKwa bahati nzuri nilibahatika kuhuzulia mazishi ya mmiliki Wa hiyo lodge stori ambazo nilisikia ni kuwa utajiri wake ni ule wa "tego" yaani kila baada ya miaka lazima afe ndugu ili kuendeleza hizo Mali.
tafuta hela tu mkuu "" hela ni hela tu ..hakuna cha Pesa za kichawi wala za halali muhimu niuwe na Pesa tu ...maana zote hzo zinategemea mzunguko wa aina moja ili kuweza kukufikia .....hao wanaosema cjui Fulani anahela zakichawi wanawivu tu "" usikute wanashindwa hata kusomesh wtoto zao kwajili yakukosa Pesa ....so kipi bora sasa uache kuwa na Pesa kisa nizakichawi halafu wanaowanakufa na njaa huku wanakosa mahitaji stahiki au uwenazo ili familia yako ipate mahitaji yote stahiki huku ikiishi luxury life.Mkuu nakuunga mkono Mimi tangu nilipojua thamani ya pesa basi nazitafuta kweli na nazipata hasa. Duniani kuna vitu viwili tu sivifanyii ajizi 1.kuabudu 2.kutafuta pesa
Amen...Masikini amekufa bado mdogo Mungu ampumzishe kwa amani
Hilo nalo neno. RIP.Wakinga bwana!
Kwahio we ni mnazi wa mambo ya kupulizamkuu hayo machaka yote mimi nayajua wala usipate shida ....kuishi kiboya boya kam nimekuja kuzurula duniani nikitu ambacho nimewahi kukipinga tngu nikiwa amature ...na nashukuru sipo tena huku """
maisha bila mali niujinga tu ...unaishi iliiweje sasa.? "" unakwenda shule kusoma ili iweje sasa "" ?? ukisisha bila pesa jiandae kuishi kama mkimbizi katika nchi yko mwenyew ...huwezi kuwa na sauti yenye nguvu ....jiandae kutosikilizwa hata namkeo ....hahàaa