M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,201
- 23,039
punje za mahindi zimeisha labda!masharti yanawamaliza mmoja mmoja... ina wezekana mkataba wao ulikuwa wa muda mfupi
punje za mahindi zimeisha labda!masharti yanawamaliza mmoja mmoja... ina wezekana mkataba wao ulikuwa wa muda mfupi
Hizi teknolojia za kiafrika bhana!!
Hahaapunje za mahindi zimeisha labda!
Hatari sana!Kwa bahati nzuri nilibahatika kuhuzulia mazishi ya mmiliki Wa hiyo lodge stori ambazo nilisikia ni kuwa utajiri wake ni ule wa "tego" yaani kila baada ya miaka lazima afe ndugu ili kuendeleza hizo Mali.
Wote kwa ajaliMakubwa,
Kaka kafia moro
Mdogo nae kafia moro
Mmmmh
Habari za asubuhi wanabodi nasikitika kutangaza kifo cha ndugu Obadiah Sanga kilichotokea Morogoro, Mikese kutokana na ajali ya gari.
Ndugu Obadiah ndiye aliokuwa mmoja wa warithi na wasisimamizi wa mali alizo acha kaka yake Kizito aliofariki mwaka jana kwa ajali Morogoro na ndiye aliokuwa mlezi na baba wa familia ya kaka yake alioacha mke na watoto.
Ajali Morogoro: Mmiliki wa hoteli ya Villa Park apata ajali mbaya na kufariki dunia
Pumzika mali pema peponi ndugu Obadiah na pole ziende kwa wafiwa na wote walioguswa na msiba huu.
Habari zaidi kuhusu mazishi tutajuzana humu
View attachment 721972View attachment 721985
Na wote ni ajali za gariMakubwa,
Kaka kafia moro
Mdogo nae kafia moro
Mmmmh
Kawaida ya makabila ya nyanda za juu kusini wana utaratibu wa kumuweka pia mdogo/kaka wa marehemu kuwa muangalizi wa familia husika yaani kusaidiana na shemejie katika kuendeleza familia
Kwa hiyo usishangae mkuu ni kawaida sana
Ata kama hakuwa na kaka/mdogo basi wanamteua Dada kama yupo asimamie familia vinginevyo kama alizaliwa peke yake labda
Atasimama mkewe tu
Huu utaratibu haujarishi ni tajiri au masikini
Na kwenye ajali alikufa na mwanamke akutambulika mwili uliaribika sanaKizito hakuacha Mke Bali watoto tu. Mke wake alifariki kabla ya yeye. Mwanamke aliemuacha ni kibint aliekua kazaa nae tu Na c mkewe Na ndo maana hata kwenye miradhi alikabithiwa dogo.
sasa kama kaka yake alifariki akaacha Mke na Watoto huyo mdogo wake ilikuwaje tena awe mrithi?? inawezekana hilo nalo ndio chanzo cha tatizo,mtu ametafuta mali akiwa na mke wake kwa jasho leo yy aje kuwa mrithi kisa tu mdogo wa mtu.
Hahahahhaa unaambiwa idadi ya mahindi ambayo jogoo atadonoa ndio miaka utayoishi.. then mahindi yanarushwa paaap ghafla jogoo anadonoa punje moja halafu anaikata nusu anakula na nusu anaacha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio utajua kwanini pombe halali kisa maandamano!punje za mahindi zimeisha labda!
Uongo, Kizito hakuacha Mke na ndiyo maana dogo alikabithiwa yeye Mali za kakake. Kuna kabinti alizaa nako kabla ya umauti wake ila alikua hajamuoa Na hakuna aliemtambua rasmi kifamilia.
Na hata baada ya kifo cha kizito huyo binti hakuwahi rudi makambako au kuhusishwa Na chochote cha kizito
hahahaha utajiri wa namna hiyo ukafie mbaliHahahahhaa unaambiwa idadi ya mahindi ambayo jogoo atadonoa ndio miaka utayoishi.. then mahindi yanarushwa paaap ghafla jogoo anadonoa punje moja halafu anaikata nusu anakula na nusu anaacha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio utajua kwanini pombe halali kisa maandamano!
mkuu hiyo hamna kuandika ukiwa na mke na watoto ikitokea umefariki basi kila kitu kina baki na mke na watoomatatizo yanayotokana na mfumo dume,na elewa wetu wa kuwa na WILL ready,MKUU wewe umeshaandika will ?
sasa kama kaka yake alifariki akaacha Mke na Watoto huyo mdogo wake ilikuwaje tena awe mrithi?? inawezekana hilo nalo ndio chanzo cha tatizo,mtu ametafuta mali akiwa na mke wake kwa jasho leo yy aje kuwa mrithi kisa tu mdogo wa mtu.