Na wote wamekufa kwa ajali ya gari.Makubwa,
Kaka kafia moro
Mdogo nae kafia moro
Mmmmh
Na wote wamekufa kwa ajali ya gari.Makubwa,
Kaka kafia moro
Mdogo nae kafia moro
Mmmmh
Huyo chalii hajafariki wala nini,yuko pale Moro dingi ake anafanyaga biashara ya Magari.hahah...huyo jamaa mbona ni wa mda sana..yule alikuwa anasema daslam mojaaaaa..haina mpambe..mark x hiyo...bams nalegeza kidogo...inapanda hiyo mshale uko kwenye 180 mbele haiend ..hahaha...magari haya noma sana
Altezza ya mwaka 1999 sasa ina miaks 19 barabaranj hahah,afu wao wanaifanyia mbwembweNa wale wanajiita Team Tezza,huwa nachukia sana basi tu.Unakuta KiArtezza chenyewe chakavu tu ila makelele kibao sijui huwa ni ushamba sijui ni ulimbukeni hata sielewi.
Mchiz yuko pale Moro wala hakupata ajali wanamzushia,dingi yake ni dealer wa Magari so anafuataga magari dar kuyaleta Moro.Hivi yule jamaa alikufa kweli ama watu wanamzushia tu?! Maana cases za mark x kupata ajali ni nyingi ila kila inapotokea lazma jamaa ahusishwe
AiseeKwa bahati nzuri nilibahatika kuhuzulia mazishi ya mmiliki Wa hiyo lodge stori ambazo nilisikia ni kuwa utajiri wake ni ule wa "tego" yaani kila baada ya miaka lazima afe ndugu ili kuendeleza hizo Mali.
Something must be wrong somewhere. R. I. PHabari za asubuhi wanabodi nasikitika kutangaza kifo cha ndugu Obadiah Sanga kilichotokea Morogoro, Mikese kutokana na ajali ya gari.
Ndugu Obadiah ndiye aliokuwa mmoja wa warithi na wasisimamizi wa mali alizo acha kaka yake Kizito aliofariki mwaka jana kwa ajali Morogoro na ndiye aliokuwa mlezi na baba wa familia ya kaka yake alioacha mke na watoto.
Ajali Morogoro: Mmiliki wa hoteli ya Villa Park apata ajali mbaya na kufariki dunia
Pumzika mali pema peponi ndugu Obadiah na pole ziende kwa wafiwa na wote walioguswa na msiba huu.
Habari zaidi kuhusu mazishi tutajuzana humu
View attachment 721972View attachment 721985
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahahahhaa unaambiwa idadi ya mahindi ambayo jogoo atadonoa ndio miaka utayoishi.. then mahindi yanarushwa paaap ghafla jogoo anadonoa punje moja halafu anaikata nusu anakula na nusu anaacha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio utajua kwanini pombe halali kisa maandamano!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah jitupie makambako hapo ukapewe punje zako! Jiandae kabisa kufa wakati maisha ndio yamekolea utamu!
Traffic inabidi wadeal na hawa jamaa,yale makelele ni uchafuzi wa mazingira.Altezza ya mwaka 1999 sasa ina miaks 19 barabaranj hahah,afu wao wanaifanyia mbwembwe
DuNa wote wamekufa kwa ajali ya gari.
Ni kweli mkuu,afu zamani nilikua naonaga ni vijana wanaobalehe tu ndo wanakua na hayo mambo,siku hizi nashangaa hadi watu wazima nao wako bize kwenye kelele za Altezza.Traffic inabidi wadeal na hawa jamaa,yale makelele ni uchafuzi wa mazingira.
Kinachowafurahisha sijui ni nini,kama wanapenda makelele si makaishi karibu na mashine za kusaga.Ni kweli mkuu,afu zamani nilikua naonaga ni vijana wanaobalehe tu ndo wanakua na hayo mambo,siku hizi nashangaa hadi watu wazima nao wako bize kwenye kelele za Altezza.
Hahah aisee mufller ni shida mkuuKinachowafurahisha sijui ni nini,kama wanapenda makelele si makaishi karibu na mashine za kusaga.