Ajali Morogoro: Mrithi wa Villa Park Makambako afariki

Ajali Morogoro: Mrithi wa Villa Park Makambako afariki

kuna kaka ake wa huyu dogo ndio itabid ashikirie maana mwanzo walimpa wakaona anapiga bata ikabidi wampe huyo dogo sasa saiv anakuwa yeye maana mbadala wake ndio kashatangulia
Samwel yule anaemla mke wa Kizito aliyebaki au ni yupi huyo?
 
Damu za IT ....hizo
Tego la mzambia halitowaacha salama
Ukweli wanaujua ndugu wa Aliyekuwa mwenye mali.
Utaua ila utakufa vibaya na kizazi chako...

Sitaki maswali
?? Me watu kama nyie nachinja unasema kitu unashindwa maliziaa ndio nini sasa??
 
Huko Iringa kuna likitu huitwa 'LITEGO' hili kombora hutumika kufuatia nung'uniko la mnung'unikaji kuelekeza kwa waliomnung'unisha, kama ulishiriki au hukutenda haki kwa mnug'unikaji litakupitia tu!

Jamani naomba na sisi twende huko tukanung'unike kuhusu mnung'unishaji wetu JIWE hadi hilo LITEGO limpitie na wapambe wake wanaotunung'unisha [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Jamani naomba na sisi twende huko tukanung'unike kuhusu mnung'unishaji wetu JIWE hadi hilo LITEGO limpitie na wapambe wake wanaotunung'unisha [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Halinaga masihara kumbuka ya Chifupa!..limewafyekaje na bado linaendelea!
 
Back
Top Bottom