Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 10,027
- 5,856
Hapana..usichanganye na yule wa marx x pale usariver arusha..kaka yake alikuwa na harrier (mk.undu wa nyani)Duh..RIP mrithi...kakake ndiye aliyepata ajali na Mark X au nachanganya issues?
Hapana..usichanganye na yule wa marx x pale usariver arusha..kaka yake alikuwa na harrier (mk.undu wa nyani)Duh..RIP mrithi...kakake ndiye aliyepata ajali na Mark X au nachanganya issues?
Nilidhani ni yule aliyekuwa anajichukua video akionyesha speed yake kwenye dashboard akala mzinga...wa Ar ni tofauti..anyways apumzike kwa amaniHapana..usichanganye na yule wa marx x pale usariver arusha..kaka yake alikuwa na harrier (mk.undu wa nyani)
Mke akipata mchumba mpya inakuaje?Kawaida ya makabila ya nyanda za juu kusini wana utaratibu wa kumuweka pia mdogo/kaka wa marehemu kuwa muangalizi wa familia husika yaani kusaidiana na shemejie katika kuendeleza familia
Kwa hiyo usishangae mkuu ni kawaida sana
Ata kama hakuwa na kaka/mdogo basi wanamteua Dada kama yupo asimamie familia vinginevyo kama alizaliwa peke yake labda
Atasimama mkewe tu
Huu utaratibu haujarishi ni tajiri au masikini
Wanaanza na punje ngapi?wakinga na utajiri wao wa punje za mahindi. rip Obadiah.
Nilidhani ni yule aliyekuwa anajichukua video akionyesha speed yake kwenye dashboard akala mzinga...wa Ar ni tofauti..anyways apumzike kwa amani
Exactly..huyo huyooohahah...huyo jamaa mbona ni wa mda sana..yule alikuwa anasema daslam mojaaaaa..haina mpambe..mark x hiyo...bams nalegeza kidogo...inapanda hiyo mshale uko kwenye 180 mbele haiend ..hahaha...magari haya noma sana
halafu dogo anaonekana alikua bitozi .Hizi habari zakupenda penda kurithi mali za marehemu, embu tupunguze kupenda kitonga.hujui hata kazitolea jasho gani.
Na wale wanajiita Team Tezza,huwa nachukia sana basi tu.Unakuta KiArtezza chenyewe chakavu tu ila makelele kibao sijui huwa ni ushamba sijui ni ulimbukeni hata sielewi.Kwa jinsi alivyo, huyo atakuwa ni wale vijana wa kuendesha subaru kwa spidi na sauti kubwa.
Hahahaha hii niliiskiaga aisee, hivi ni kweli inakuwaga hivyo, aisee bora niwe maskini ila niishi full length of my life. Kuuwawa na majini sio kabisa aisee!Hahahahhaa unaambiwa idadi ya mahindi ambayo jogoo atadonoa ndio miaka utayoishi.. then mahindi yanarushwa paaap ghafla jogoo anadonoa punje moja halafu anaikata nusu anakula na nusu anaacha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio utajua kwanini pombe halali kisa maandamano!
Ni ulimbukeni tu me mwenyewe wale jamaa wananikela sana R.I.P bro.Na wale wanajiita Team Tezza,huwa nachukia sana basi tu.Unakuta KiArtezza chenyewe chakavu tu ila makelele kibao sijui huwa ni ushamba sijui ni ulimbukeni hata sielewi.
Alikula mzinga na harrier mayai ile ikawa right-off kabisa!Duh..RIP mrithi...kakake ndiye aliyepata ajali na Mark X au nachanganya issues?
Hahahah jitupie makambako hapo ukapewe punje zako! Jiandae kabisa kufa wakati maisha ndio yamekolea utamu!Hata mimi utajiri huo wa mkataba ninautaka sana hata nikiishi mitano inanitosha maana nitakuwa nimeshasumbua raia
Marehemu kaka yake alikuwa na mke na mtoto ambae alifariki na kachanga, pia alipopata ajali alikuwa na mwanamke mwingine ambae na alifariki nae na alikuwa amezaa nae (kwahiyo aliacha mtoto kwa mujibu wa discussion ya huo uzi alioambatanisha pamoja na uzi huu) though mleta uzi tena amesema aliacha mke tenasasa kama kaka yake alifariki akaacha Mke na Watoto huyo mdogo wake ilikuwaje tena awe mrithi?? inawezekana hilo nalo ndio chanzo cha tatizo,mtu ametafuta mali akiwa na mke wake kwa jasho leo yy aje kuwa mrithi kisa tu mdogo wa mtu.
Hivi yule jamaa alikufa kweli ama watu wanamzushia tu?! Maana cases za mark x kupata ajali ni nyingi ila kila inapotokea lazma jamaa ahusishwehahah...huyo jamaa mbona ni wa mda sana..yule alikuwa anasema daslam mojaaaaa..haina mpambe..mark x hiyo...bams nalegeza kidogo...inapanda hiyo mshale uko kwenye 180 mbele haiend ..hahaha...magari haya noma sana
Aisee atakayenitaja nakataa kwani nini aisee. Ukute ndugu wa pembeni una maisha yako freshi tu bila manyagu nyagu. Af unatwishwa zigo la laana.Daaa....kwa hiyo saaizi atakaye rithi naye atafia Moro kwa ajali na ukitajwa kurithi hamna kukataa.....