Ajali Morogoro: Mrithi wa Villa Park Makambako afariki

Ajali Morogoro: Mrithi wa Villa Park Makambako afariki

kedrick

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
5,328
Reaction score
5,399
Habari za asubuhi wanabodi nasikitika kutangaza kifo cha ndugu Obadiah Sanga kilichotokea Morogoro, Mikese kutokana na ajali ya gari.

Ndugu Obadiah ndiye aliokuwa mmoja wa warithi na wasisimamizi wa mali alizo acha kaka yake Kizito aliofariki mwaka jana kwa ajali Morogoro na ndiye aliokuwa mlezi na baba wa familia ya kaka yake alioacha mke na watoto.

Ajali Morogoro: Mmiliki wa hoteli ya Villa Park apata ajali mbaya na kufariki dunia

Pumzika mali pema peponi ndugu Obadiah na pole ziende kwa wafiwa na wote walioguswa na msiba huu.

Habari zaidi kuhusu mazishi tutajuzana humu

FB_IMG_1521704625319.jpg
IMG-20180322-WA0005.jpg
 
sasa kama kaka yake alifariki akaacha Mke na Watoto huyo mdogo wake ilikuwaje tena awe mrithi?? inawezekana hilo nalo ndio chanzo cha tatizo,mtu ametafuta mali akiwa na mke wake kwa jasho leo yy aje kuwa mrithi kisa tu mdogo wa mtu.

Sijajua alikua mrithi au msimamizi wa mirathi. Kuna makabila mke harithi kitu. Inasikitisha sana
 
Wakinga duuuh
Nadhani ni Yale mambo yao Mali za mkataba utashangaa wataisha wote tena kwa ajali hivyo hivyo
R.I.P mkuu
 
Hela za wakinga walio wengi ni za uchawi, masharti ya kupata hizo hela na ili ziwe endelevu ni kila mwaka lazima afe mwanafamilia anaetumia hizo pesa za mandagu [emoji3]
 
yule kaka yake mwaka jana kabla japata ajali..mke wake alifariki kama sijakosea akiwa anajifungua..wakafa mama na kichanga..wakazikwa kaburi moja la gorofa. (mama akaanza chini kisha mtoto akazikwa juu yake...
akabaki huyo mume wake ambae nae akala mzinga mbaya sanaakiwa na dem mmoja (mwalimu na MKE wa mtu) ..aliianzia safari yake pale mafinga jion baada YA MECHI..
sasa dogo mrithi nae kafata kwa staili ile ile kama ya kaka yake..zote ajali...

huyo mjane wa kaka mkubwa ni yupi? maana alianza yy kufa
 
sasa kama kaka yake alifariki akaacha Mke na Watoto huyo mdogo wake ilikuwaje tena awe mrithi?? inawezekana hilo nalo ndio chanzo cha tatizo,mtu ametafuta mali akiwa na mke wake kwa jasho leo yy aje kuwa mrithi kisa tu mdogo wa mtu.
matatizo yanayotokana na mfumo dume,na elewa wetu wa kuwa na WILL ready,MKUU wewe umeshaandika will ?
 
sasa kama kaka yake alifariki akaacha Mke na Watoto huyo mdogo wake ilikuwaje tena awe mrithi?? inawezekana hilo nalo ndio chanzo cha tatizo,mtu ametafuta mali akiwa na mke wake kwa jasho leo yy aje kuwa mrithi kisa tu mdogo wa mtu.

Kawaida ya makabila ya nyanda za juu kusini wana utaratibu wa kumuweka pia mdogo/kaka wa marehemu kuwa muangalizi wa familia husika yaani kusaidiana na shemejie katika kuendeleza familia
Kwa hiyo usishangae mkuu ni kawaida sana
Ata kama hakuwa na kaka/mdogo basi wanamteua Dada kama yupo asimamie familia vinginevyo kama alizaliwa peke yake labda
Atasimama mkewe tu
Huu utaratibu haujarishi ni tajiri au masikini
 
Back
Top Bottom