Thibitisha au futa kauli yako.
Pole wafiwa kwa maana ya wanafamilia na ndugu pamoja na jeshi la polisi. R.I.P marehemu.
Pamoja na hayo Kinondoni na Kisarawe ni tofauti kubwa labda tu kama:
1. Walienda kusalimia ndugu huko Kisarawe( Ila weekend na sare za jeshi)
2. Kule Kiluvya kwa kuwa Kiluvya Upande mmoja wa barabara ya Morogoro kulia ni Kinondoni na kushoto ni Kisarawe. Ila kama kwa njia ya Gongo la Mboto, ingeeleweka kama angalau wangekuwa wa Ilalaa
By the way RIP Kamanda wetu
Jamani tunatakiwa kuwa waangalifu kuhusu upigaji picha za marehemu na kuzitundika mtandaoni. Hivi angekuwa baba yako, kaka yako, dada yako, ungepiga pjcha hizo. Nashutumu sana aliyepiga na nalalamikia sana moderator kwa kuziachia picha hizi na zile za musoma muwa mtandaoni. Tuheshimj haki za marehemu. Ndio maana wakifa mahospitalini wanafunikwa.
ameshakufa taarifa tumeshazipata tumwache apumzike kwa amani na hukumu juu ya matendo yake tumwachie mola! tukumbuke naye ana familia ndugu na jamaa ambao wanaguswa na huu msiba moja kwa moja tusizidi kuwaumiza kwa matusi kejeli na kashfa
Hakuna uangalifu hapa weka picha ..wakileta habari bila picha mnasema weka picha mkiwekewa mnaanza kusema tuwemwaangalifu..acheni kuwa walalamishi kama wale jamaa wavaa kanzu zinalowana
Jamani tunatakiwa kuwa waangalifu kuhusu upigaji picha za marehemu na kuzitundika mtandaoni. Hivi angekuwa baba yako, kaka yako, dada yako, ungepiga pjcha hizo. Nashutumu sana aliyepiga na nalalamikia sana moderator kwa kuziachia picha hizi na zile za musoma muwa mtandaoni. Tuheshimj haki za marehemu. Ndio maana wakifa mahospitalini wanafunikwa.
kama walitenda mema kwa kulinda amani kwa uadilifu, kinyume cha hapo hakuna kupumzika kwa amani.
huyu kafaje huyu..mkuu uko kwenye wind screen sijaelewa? Leo ni siku ya kazi kwani? Halafu ..daah anyway pumzika mzee wa dili za leseni pale mayfair
Kwa amakyasya tena! Duh! Labda kwa Gwajima mzee wa misukule.wapumzike kwa amakyasa...
Rip all
kwa amakyasya tena! Duh! Labda kwa gwajima mzee wa misukule.
Duh! Huo mzinga ni wa hatari! Pole kwa wafiwa!
Mungu awapumzishe salama walio tangulia.
Sent from my WhiteBerry using JamiiForums