Polisi wa kinondoni kafia kwenye ajali kisarawe! Walipata uhamisho wa dharura? Walijipeleka kupiga dili au walienda kupiga misele tu?
Hapa sijakuelewa mkuu, kwani polisi wa kinondoni ana mipaka ya kupata ajali? Naomba ufafanuzi.
Polisi wa kinondoni kafia kwenye ajali kisarawe! Walipata uhamisho wa dharura? Walijipeleka kupiga dili au walienda kupiga misele tu?
Pole wafiwa kwa maana ya wanafamilia na ndugu pamoja na jeshi la polisi. R.I.P marehemu.
Pamoja na hayo Kinondoni na Kisarawe ni tofauti kubwa labda tu kama:
1. Walienda kusalimia ndugu huko Kisarawe( Ila weekend na sare za jeshi)
2. Kule Kiluvya kwa kuwa Kiluvya Upande mmoja wa barabara ya Morogoro kulia ni Kinondoni na kushoto ni Kisarawe. Ila kama kwa njia ya Gongo la Mboto, ingeeleweka kama angalau wangekuwa wa Ilalaa
By the way RIP Kamanda wetu
Mkuu kule kuna meno ya Tembo ni hatari,yanatokea hifadhi ya selous,kwa hiyo kuna vijiji kam Chole samvula hukosi vipusa.R.I.P Afande.Kisarawe?? Hataree
[/quote]aisee nashukuru kwa taarifa yako nzuri,
marehemu alinisaidia mie na rafiki yangu kupata leseni mpya. Rip john.=elisha chuma;10548378]hiyo taarifa ya wawili sijaipata picha na maelezo ni mmoja ameagwa kwa heshima na hadhi yake watu walikuwa wengi na kiserikali alikuwepo makamu wa rais,safari yake imeishia hapo jichunguze usinyooshe tu kidole wewe ni msafi?marehemu alipata ajali akitokea shambani kwake kurudi dsm na alikuwa mwenyewe kwenye gari.chanzo cha ajali ni kusapuka kwa tairi zote mbili za upande wa mbele na gari kukosa mwelekeo likapinduka juu chini,ambapo alibanwa na body la gari hadi mauti.waliosema hakufunga mkanda kwa senario hiyo unaweza kubaki ndani ya gari? Na picha inaonyesha hata kioo cha mbele hakipo.
Bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe.amen